Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
kwa nini ndoa iwe utumwa? Ni kwa sababu ya huu usawa. Kama wazazi wako wangeachana kama unavyoshauri wewe sidhani kama tungekuona hapa jf. Ungekuwa juha fulani huko.
Kila mtu atimize wajibu wake katika ndoa. Watoto wana haki ya kunyonya maziwa ya mama, sio ya ngombe. Wao sio ndama
Wazazi wangu waliachana kwa sababu ya hato mambo unayoyaongelea. Since then, wote wamekuwa na maisha ya furaha sana. Ninayaongea haya kwa sababu hakuna nafsi iliyoumbwa kuteseka kwa ajili ya kurahisha mwingine labda muumba tu!
Hapo kwenye blue...Bado unaamini mimi juha?