Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

Mimi naona hapa cha msingi ni kuwa
Wanawake wengi wakiwa na uwezo wa juu hasahau wajibu wao kama mke/mama wa familia.
sisemi kuwa apike, afue, maji etc ila kuna flavor ndogondogo muhimu zinaonyesha uwepo wa mama na sio uwepo wa baba wawili ndani ya nyumba.
Mf. ni vizuri kupendekeza mambo ya maendeleo ili wakubaliane wote kufanya na sio kuelekeza...kama vile wapo ofisini kisa tu wana hela au kutokubali chalenge kisa tu wana hela....
Kumbuka kufanya mambo bila kukubaliana na mwenzako inaweza kuwa Mfume dume kama ni mwanamme au Mfumo jike kama ni mwanamke mwenye mapesa anayeshindwa kuchukua nafasi yake ya kuitwa mama.......
Muhimu zaidi ni kumtegemea Mungu na kusali sana; Kumbusheni familia zifanye ibada ya kweli na sio ya kujionesha!!!
 
Support and teamwork ndo msingi wa ndoa... Appriciation is a bip and strong reward kwa wanandoa.
 
Back
Top Bottom