wanawake wanataka nini?

fimbombaya

Member
Apr 11, 2011
47
12
kwakeli nashindwa kujua kuwa ni nini hasa ambacho wanawake wanataka katika maisha hasa walio katika ndoa! nimelazimika kuongea hivi baada ya kugundua uchafu unaofanywa na rafiki yangu wa kiume kumchukua mke wa jamaa yangu! na kwakuwa mi wale wote ninawafahamu vizuri niliamua kuongea na rafiki yangu kumwuliza kulikoni atembee na mke wa mtu? alichonijibu ni kwanza alinishangaa na kuniambia kuwa yule hakuwa mke wa mtu!na nilipomweleza zaidi kuwa ni mke wa mtu na anawatoto 3 kwa mumewe! bado jamaa aliniambia ajuavyo yeye ni kwamba mwanamke huyo si mke wa mtu na pale anapoishi ni kwa kakake na wale ni watoto wa dadake! na kwa sasa mwanamke ni mjamzito na bado wanamahusiano. why?
 
dunia imevaa bukta jamani,ndo taabu ya kuolewa huku ya dunia hujayamaliza mama akana watoto wake wa kuwazaa hii kali kuliko!
 
4518565_f260.jpg

...Dah, inapofikia mke kuikana ndoa yake, Mume wake na watoto wake!...shughuli!

"Jamaa" yako naye utamwambia yanayotokea? Umesema 'shemeji' ni mjamzito, mwenyewe anasemaje?
Mimba ni ya jamaa yako au ya rafiki yako?
 
dunia imevaa bukta jamani,ndo taabu ya kuolewa huku ya dunia hujayamaliza mama akana watoto wake wa kuwazaa hii kali kuliko!

Mwaionea bure dunia wakati vicheche ni sisi wenyewe binadamu . . .
 
Hii ni habari nziiiiito. Kweli kweli!!! So inawezekana hao watoto sio wa mwanaume anayeish naye labda yupo mwingine! Jaman tuwe na hofu ya Mungu,tusioe wala kuolewa kwa fasion wandugu.
 
Tusamehe dhambi zetu kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea usitutie katika vishawishi lakini utuokoe maovuni.Amina
 
duh,kweli sijui wanawake wanataka nini.......hivi wanaume wao wanataka nini??:nerd:
 
kwakeli nashindwa kujua kuwa ni nini hasa ambacho wanawake wanataka katika maisha hasa walio katika ndoa! nimelazimika kuongea hivi baada ya kugundua uchafu unaofanywa na rafiki yangu wa kiume kumchukua mke wa jamaa yangu! na kwakuwa mi wale wote ninawafahamu vizuri niliamua kuongea na rafiki yangu kumwuliza kulikoni atembee na mke wa mtu? alichonijibu ni kwanza alinishangaa na kuniambia kuwa yule hakuwa mke wa mtu!na nilipomweleza zaidi kuwa ni mke wa mtu na anawatoto 3 kwa mumewe! bado jamaa aliniambia ajuavyo yeye ni kwamba mwanamke huyo si mke wa mtu na pale anapoishi ni kwa kakake na wale ni watoto wa dadake! na kwa sasa mwanamke ni mjamzito na bado wanamahusiano. why?

Unfortunately nakubali kua sometimes hata sisi hatuelewi ni nini tunataka. Ni swali gumu, ila hiyo hua inatokea unapokua young kila mwanaume akija unashoboka (msininukuu vibaya si kwa kila binti). Ila huyou Mama WATATU kaskitisha saaaaaana, kavuka mpaka kwanza ha'deserve kuitwa mama mana kawakana watoto.
 
Tusamehe dhambi zetu kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea usitutie katika vishawishi lakini utuokoe maovuni.Amina

Hii ni moja kati ya sentensi ngumu sana duniani. Isome tena na uiseme mara kumi huku ukitafakari utaelewa maneno yangu!!
 
duh,kweli sijui wanawake wanataka nini.......hivi wanaume wao wanataka nini??:nerd:

hapo mwanamke anachohitaji ni kipigo cha paka mwizi..... anakua punchbox... we mtoa mada peleka taarifa hizi kwa mumewe
 
Huyu nae ni mwehu mwingine kwani hawezi kumwambia ukweli? kama amefikia hivyo basi amwache mumewe kabisa
 
Back
Top Bottom