wanawake wanataka nini?

Kubembelezwa tu na kupendwa upendo wa hali ya juu, tukikosa hayo ndio kama haya ya kukana mpaka watoto
 
Dinnah;Kubembelezwa tu na kupendwa upendo wa hali ya juu, tukikosa hayo ndio kama haya ya kukana mpaka watoto

Unaweza bembelezwa ,mpaka ukabebwa mgongoni utakuja lalamika tu kuwa unapenda ukalishwe chini...... Ni tabia tu ya mtu ambaye haliziki na alichonacho. Ni kutokuwa na hofu ya Mungu
 
hahahahaha nimecheka sana huyo atakuwa ana lake mwenzangu mie nikipata hayo ukiongeza na kujaliwa basi hapo nakuwa kama zuzu vile
 
Kaka huyo aliyekanwa atulize mpira, akae na watoto wake huyo changudoa aende anakotaka. Ila tu kaka huyo mwambie afunge siku tatu kavu hali hanywi kitu, ikibana sana achemshe maji ya moto glass moja anywe kila anapojisikia tofati. Jamani mwacheni Mungu aitwe Mungu, ukiomba kwa imani mambo yanatendeka. Katika siku 3 za maombi amini nakwambia atajuta kufanya hilo alofanya.

Hivi na nyie wanaume vipofu, mwanamke kama huyo unafikiri ni mzuri kwako? atakukana vile vile alivyofanya kwa mwanaume mwenzio. Muwe na macho ya Imani jamani.

Kesheni mkiomba.
 
Shetani ndugu yangu yupo na anatoa makucha yake sana tu siku hizi
 
dah? Kaz ipo mbona mh! Yan ninakosa hata la kuongea mana dah! Cjui nimuhukumu nan hapo labda nikirud nitapata la kuongea
 
huyo rafiki yako kuna mahali hashughuliki ukute hata hao watoto watatu si wake mnh
 
tafsida uliyotumia nimeipenda.....kuna wengine kidude wanapeana lakini bado matatizo tu....:rant:

wanaume wengi vidude vyao wanatoa kwa kutojiamini unatakiwa utoe kibano kweli kweli kama ni kulowanishana mlowanishane haswaaa haya mambo sio ya kubipu
 
Back
Top Bottom