Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

By the way kwanini ubadilishe matumizi ya kiungo cha mwili,mbona hamtembeleagi mikono??kama wewe ni mpenzi wa sodomy jua wewe una shida kichwani.
 
Yeah uko sahihi, wakati wa kufyonza papuchi pitisha kaulimi kwenye jicho ukiona anainjoi huku anaukatikia hauko mbali kula jicho

Au wakati wa doggy style pitisha dole gumba kwenye jicho fanya kama kuisugua halafu unaingiza kidogo ukiona kinapenya na hashtuki analimwagia uno umewin
Kwahyo uko unaita ni kuwin??dah nchi hii
 
Sikuhukumu,ila omba sana toba kwa Mungu,cos ni ulichofanya sio dhambi tu bali ni laana,uspokuwa makini familia yako itapitia mapigo makuu kwa makosa ya ujana wako,AGAIN ,vijana tuache umagharibi..warumi 1:26
Acha watisha watu
 
Wanajua kushawishi hatari. Mimi niliruka mitego ya mashoga wawili. Tuendelee kumuomba Mungu atusaidie
Mi moja nilikutana nalo badoo lipo sinza,moja lipo kongowe sjui huko,nilikutana nalo fb,likaanza sjui unajua kaka we ni handsome kinoma,nikamjibu nakubali sana mzee,akasema pande zp,nikamtajia,akaongeza utakuja lini pande za kongowe,nikamjibu kama nikipata mishe ntatimba tu,akanambia njoo basi ..afu akantumia video ya jamaa mmoja homo anafanywa mambo ya hovyo ..hata skusema kitu nikalima block.
 
Ndio shida ya kutoroka masomo ya bailojia unakuja kuwa mjinga ukubwani sababu haujui unaongea nini.

Sasa kule nyuma unafananisha na huku mbele?

Maumbile ya mwanamke unayafahamu vema?

Unajua kuwa sehemu ya kuchomeka uume ipo chini na sehemu ya kutoa haja ndogo upo kwa juu yaani havihusiani wala kuingilia. Kwa kifupi mwanamke anaweza kukojoa huku uume umeingia sehemu yake.

Pili sehemu ya uke ina mfumo wake kabisa wa bacteria wazuri wanaoulinda na maradhi ya kuambukiza na matokeo yake ni usalama kama mwanamke atatunza vema sehemu zake za siri kwa kutoingiliwa na wanaume tofauti lakini pia kuwa msafi wa mwili.

Sasa huko nyuma ni njia ya kutolea haja kubwa tena yenye harufu kali kupita maelezo.

Mtu anaingiza uume unakutana na kinyesi cha binadamu kuna starehe gani hapo?

Huwa najiuliza baada ya kuchomeka na kumaliza ufirauni wako ukichomoa unaendelea kulala hapo hapo au unaenda bafuni na kutazama uchafu wa kinyesi uliogandamana kwenye uume wako na kuanza kusafisha unashafishaje na unaposafisha huwa unashika na mikono na kunusa kama umesafishika?

Hivi ukishatoka hapo unajiona ni timamu kabisa wa akili?

Aiseee MUNGU atusaidie. Mimi ndio maana ilifika muda kwenda lodge nikawa very selective yaani hadi nichague lodge ya kulala basi nitakagua sana maana imagine kuna watu wanakuja lodge humo kufanya haya mambo halafu mimi nije niingie tena humo aiseee hapana.

Na ndio maana siku hizi wanawake hawa mapepe wasiotulia hawaishiwi na magonjwa yasiyoeleweka na makali sana sababu kuna Virusi wanavipokea kutoka kwa hawa wanaume wachafu wa tabia na mwili kisha wanatembea navyo hospital wanashidwa vielewa maana hata dawa zake hakuna.

Unasikia tu PID ila ukimeza dawa na kuchomwa sindano wiki tu ugonjwa umerudi, maharufu ya ajabu utadhani huko chini kuna mzoga wa samaki au panya. Aisee haya yote ni matokeo ya kwenye kinyume na utaratibu sahihi wa kufanya mapenzi.
Mkuu umemaliza kila kitu,kudos.
 
Ushawishi gani? Acheni uongo wenu, tatizo la Bongo wamejaa bisexuals na sio straight.

Hakuna ushawishi wowote, ni nyie wenyewe mnatakaa, ila unafiki unawasumbua.
Haya ni mashenzi tuuu,hakuna mwanaume kamili au straight anaweza kushawishika kumla gay au demu akakubali kuwekwa mafinger na tomboy,ukiona limeshawishika ujue lilishawahi kutamani ndo wakati umewadia sasa linawaza likubali au likatae
 
Haya ni mashenzi tuuu,hakuna mwanaume kamili au straight anaweza kushawishika kumla gay au demu akakubali kuwekwa mafinger na tomboy,ukiona limeshawishika ujue lilishawahi kutamani ndo wakati umewadia sasa linawaza likubali au likatae
Bora mseme nyie, nikisema mie naonakena mbayaa
 
Wanawake ndo hupata tabu wakati wa kujifungua, naskia huishia kujamba jamba tu badala ya kupump mtoto atoke, wengi huchafua mashuka kwa nnya
Hii ni misinformation.... hizo ni infection sawa tu na fistula hazina uhusiano na anal sex.
Uongo uko wapi hapo mkuu.
Mwanaume akipigwa pipe anakua na pigo za kike, analegea(kuharibika nje)
Sio kweli, wapo wengi tu ukiambiwa ni shoga unakataa maana muonekano haufanani. Huko kulegea au kuwa feminine ni hulka na hormone zaidi kuliko kuingiliwa.
unaingiza uchafu kule ndichi na pia mtu anapoteza uwezo wa kusimamisha vizuri.
Kushindwa kusimamisha ni saikolojia zaidi maana anakua anavutiwa zaidi na wanaume kuliko wanawake na sio sababu ya kuingiliwa kinyume. Ndio maana kuna watu wanajiita versatile anaingiliwa na kuingilia sasa angewezaje kuingilia wenzake ilihali ameshaingiliwa sana? Or hujawahi kusikia mtu ana watoto kabisa ila anageuzwa?

Tutofautishe hisia/saikolojia na tendo la ngono?
 
Back
Top Bottom