Mwanaume usimuanike mpenzi wako mitandaoni

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
10,098
12,473
Sianzi na salamu kwasababu hata nikiwasalimia hamuitikii anyway let's go stright to our topic.

Unajua vijana wa siku hizi na baadhi ya watu wamekuwa wajinga sana ila wao wenyewe wanajiona wajanja na hata ukiwashauri wanakuona mshamba. Kumpenda mke wako au mpenzi wako sio lazima mpaka umpost mitandaoni kwasababu maisha ya mitandaoni na uhalisia ni tofauti watu wengi wanachokipost sicho wanachokiishi mimi leo kazi yangu kuwakumbusha tu.

Wakati tunaelekea kwenye valentine's day epuka huo mkenge mapenzi yalikuwepo kabla ya Instagram Facebook na WhatsApp jitambue epuka stress ambazo hazina msingi na zina epukika.

Sasa kabla hatujafika mbali ngoja nikupe mifano ya watu ambao mapenzi yamewatokea puani baada ya kuanikana mitandaoni na kujifanya wao kina sharkan na kajol.

NICK WA PILI NA MKE WAKE: Hawa bwana walifanya watu wengine wote waonekane wajinga kwasababu jinsi walivyokuwa wakiishi mitandaoni mpaka kufikia hatua ya mwanaume kusema hata akipewa nafasi ya kuoa tena atamuoa mke wake kwa mara ya pili ila mwisho wa siku shetani akaingia kati kilichotokea kila mtu alikiona. Watu walienda kula nyama nje ya nchi na ndio ikawa mwanzo wa matatizo yao.

DR. DR. MWAKA NA MKE WAKE: Hawa walifika mpaka hatua ya kufanya interview na kusema analala na wake zake kitanda kimoja na alikuwa mshauri mkubwa wa mahusiano kabla hayajamkuta, ila anachopitia sasa hivi ni maumivu mpaka kaamua kufunga comment section kwenye mitandao ya kijamii sasa fikiria muuza dawa za nguvu za kiume na mshauri wa ndoa anateseka demu anakula maisha na wanyamwezi wengine huko sasa mateso yote ya nini mzigo wahuni wanakula huko.

MANARA NA WAKE ZAKE WAWILI: Huyu jamaa anajifanya much know yaani yeye anajiona mjanja kuliko watu wote na kila kitu anajua yeye hata baada ya mzee Yusuph kumshauri alimjibu jeuri kama kawaida yake ila mwisho wa siku ndoa chalii licha ya kuwapeleka Dubai na Qatar lakini ngoma ilikuwa ngumu mwisho wa anayeteseka ni yeye ila anajikaza kwasababu yule jamaa hakubali kushindwa. Mizigo watu wamechukua huko safari za Dubai haziishi mapemzi haya.

MC PILIPILI NA MKEWE:Yaani katika watu waliotakiwa watulie ni hyo MC kwasababu kwa waliosoma UDOM na maisha aliyokuwa anaishi mke wake chuo alikuwa mdangaji pro max ila kwasababu MC ni mshamba akaona kapata mke akaweka ndani anayopitia sasa hivi anajua mwenyewe maumivu yake sasa kwa nini uteseke wakati mateso yana epukika. Mdangaji hawezi kusahau kazi yake angetulia kupunguza maumivu.

MADEBE NA MKEWE: Huyu jamaa alikuwa anajifanya mshauri wa masuala ya ndoa ila ni wahuni kama wahuni wengine baada ya mke wake kuelezea aliyokuwa anamfanyia wakiwa kwenye ndoa na kinachoendelea sasa hivi ni aibu kwa wote wawili kwasababu kila mmoja hakubali kushindwa. Ila kama sio mitandaoni kuanikana hzi taarifa walitakiwa wamalizane wenyewe tu ila kwasababu washazoea mitandao ilikuwa haliepukiki.

STAMINA NA MKEWE: Katika watu waliopitia kipindi kigumu kwenye ndoa na mapenzi ni huyo jamaa maana alifikia hatua mpaka ya kutaka kujiua baada ya ndoa yake kufika tamati na kupelekana mahakamani mpaka leo habari za ndoa na wanawake hataki kuzisikia na amejifunza kuto anika mademu hovyo hovyo maana ilikuwa tunamkosa kama sio watu kuingilia kati.

DULA MAKABILA NA ZAYLISA: Wasanii wetu wana heka heka nyingi sana yaani wanaishi maisha ya kuigiza mpaka kwenye ndoa mwisho wa siku wanabaki kuaibika na kudhalilika alichokuwa anakifanya makabila na mkewe ni kama vile watu wote walikosea kuoa yeye peke yake ndio ana mke mzuri na ndio wanapendana kuliko watu wote duniani. Ila amepata funzo kwasababu kilichomkuta kila mtu anakijua.

RICARDO MOMO NA MKEWE: We jamaa mshamba mshamba unapata bahati ya kuwa na pisi kali kama ile halafu una iyanika mara kwa mara unapost mitandaoni wahuni wamepita naye amebaki kulia tu demu haipiti week kaenda Dubai mateso yote ya nini fanya mambo kimya kimya kuepuka maumivu kwasababu yana epukika. Mitandao sio mizuri kwa wanandoa na wapenzi nikujitia stress tu.

NB:KUPOSTIANA MITANDAONI SIO ISHARA YA UPENDO NI KUTAKA KUKOMOANA AU KUJIONYESHA TU KWA WATU ILA NI TOFAUTI NA UHALISIA.
 
Upewe listi ya ambào hawaposti na wameachana?
Kutalakiana au kuibiwa mke au mume hakuna uhusiano na ku-post au kutokumpost.

Acha Watu wafanye kinachowapa furaha. Kama wewe hiyo sio furaha yako. Au unaogopa ku-post mkeo au mumeo waache wanaoweza.
Kwa sababu wanaoachana ambao hawajawapost wapenzi au wachumba zao ni wengi kuliko waliowapost
 
Sianzi na salamu kwasababu hata nikiwasalimia hamuitikii anyway let's go stright to our topic.

Unajua vijana wa siku hizi na baadhi ya watu wamekuwa wajinga sana ila wao wenyewe wanajiona wajanja na hata ukiwashauri wanakuona mshamba. Kumpenda mke wako au mpenzi wako sio lazima mpaka umpost mitandaoni kwasababu maisha ya mitandaoni na uhalisia ni tofauti watu wengi wanachokipost sicho wanachokiishi mimi leo kazi yangu kuwakumbusha tu.

Wakati tunaelekea kwenye valentine's day epuka huo mkenge mapenzi yalikuwepo kabla ya Instagram Facebook na WhatsApp jitambue epuka stress ambazo hazina msingi na zina epukika.

Sasa kabla hatujafika mbali ngoja nikupe mifano ya watu ambao mapenzi yamewatokea puani baada ya kuanikana mitandaoni na kujifanya wao kina sharkan na kajol.

NICK WA PILI NA MKE WAKE: Hawa bwana walifanya watu wengine wote waonekane wajinga kwasababu jinsi walivyokuwa wakiishi mitandaoni mpaka kufikia hatua ya mwanaume kusema hata akipewa nafasi ya kuoa tena atamuoa mke wake kwa mara ya pili ila mwisho wa siku shetani akaingia kati kilichotokea kila mtu alikiona. Watu walienda kula nyama nje ya nchi na ndio ikawa mwanzo wa matatizo yao.

DR. DR. MWAKA NA MKE WAKE:Hawa walifika mpaka hatua ya kufanya interview na kusema analala na wake zake kitanda kimoja na alikuwa mshauri mkubwa wa mahusiano kabla hayajamkuta, ila anachopitia sasa hivi ni maumivu mpaka kaamua kufunga comment section kwenye mitandao ya kijamii sasa fikiria muuza dawa za nguvu za kiume na mshauri wa ndoa anateseka demu anakula maisha na wanyamwezi wengine huko sasa mateso yote ya nini mzigo wahuni wanakula hko.

MANARA NA WAKE ZAKE WAWILI: Huyu jamaa anajifanya much know yaani yeye anajiona mjanja kuliko watu wote na kila kitu anajua yeye hata baada ya mzee Yusuph kumshauri alimjibu jeuri kama kawaida yake ila mwisho wa siku ndoa chalii licha ya kuwapeleka Dubai na Qatar lakini ngoma ilikuwa ngumu mwisho wa anayeteseka ni yeye ila anajikaza kwasababu yule jamaa hakubali kushindwa. Mizigo watu wamechukua huko safari za Dubai haziishi mapemzi haya.

MC PILIPILI NA MKEWE:Yaani katika watu waliotakiwa watulie ni hyo MC kwasababu kwa waliosoma UDOM na maisha aliyokuwa anaishi mke wake chuo alikuwa mdangaji pro max ila kwasababu MC ni mshamba akaona kapata mke akaweka ndani anayopitia sasa hivi anajua mwenyewe maumivu yake sasa kwa nini uteseke wakati mateso yana epukika. Mdangaji hawezi kusahau kazi yake angetulia kupunguza maumivu.

MADEBE NA MKEWE: Huyu jamaa alikuwa anajifanya mshauri wa masuala ya ndoa ila ni wahuni kama wahuni wengine baada ya mke wake kuelezea aliyokuwa anamfanyia wakiwa kwenye ndoa na kinachoendelea sasa hivi ni aibu kwa wote wawili kwasababu kila mmoja hakubali kushindwa. Ila kama sio mitandaoni kuanikana hzi taarifa walitakiwa wamalizane wenyewe tu ila kwasababu washazoea mitandao ilikuwa haliepukiki.

STAMINA NA MKEWE: Katika watu waliopitia kipindi kigumu kwenye ndoa na mapenzi ni huyo jamaa maana alifikia hatua mpaka ya kutaka kujiua baada ya ndoa yake kufika tamati na kupelekana mahakamani mpaka leo habari za ndoa na wanawake hataki kuzisikia na amejifunza kuto anika mademu hovyo hovyo maana ilikuwa tunamkosa kama sio watu kuingilia kati.

DULA MAKABILA NA ZAYLISA: Wasanii wetu wana heka heka nyingi sana yaani wanaishi maisha ya kuigiza mpaka kwenye ndoa mwisho wa siku wanabaki kuaibika na kudhalilika alichokuwa anakifanya makabila na mkewe ni kama vile watu wote walikosea kuoa yeye peke yake ndio ana mke mzuri na ndio wanapendana kuliko watu wote duniani. Ila amepata funzo kwasababu kilichomkuta kila mtu anakijua.

RICARDO MOMO NA MKEWE: We jamaa mshamba mshamba unapata bahati ya kuwa na pisi kali kama ile halafu una iyanika mara kwa mara unapost mitandaoni wahuni wamepita naye amebaki kulia tu demu haipiti week kaenda Dubai mateso yote ya nini fanya mambo kimya kimya kuepuka maumivu kwasababu yana epukika. Mitandao sio mizuri kwa wanandoa na wapenzi nikujitia stress tu.

NB:KUPOSTIANA MITANDAONI SIO ISHARA YA UPENDO NI KUTAKA KUKOMOANA AU KUJIONYESHA TU KWA WATU ILA NI TOFAUTI NA UHALISIA.
Umeongea vyema sana mkuu mwenye kusikia na akusikie, hivi Stamina SI alioa tena Ina maana ndoa unayozungumzia ni Ile ya kwanza alivyochapiwa na mchezaji wa Simba au hii ya pili?
 
Kuachana hakuna uhusiano na ku-post au kutokumpost mke au mume.

Listi ya wanaoachana na hawajawahi kuwapost wenza wao ni kubwa kuliko waliowahi kuwapost.
Hivyo kiutafiti na logically tunasema hakuna uhusiano wowote baina ya kuachana au kuibiwa mwenza na kumpost mitandaoni
 
aise...
mbona umeanika ukweli bayana kinagaubaga hadharani tena bila mbambamba 🐒

ndrugo zango ukiona inafaa zingatia ushauri na kutekeleza ushauri huu, ukiona ni wivu tu songa mbele kuposti ili listi ya kupigana chini baadae iongezeke, maana ni suala la muda tu.
Shupaza shingo ivo ivo na uzingatie ushauri wa mafeministi 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Maisha ni kuchagua.

_20240213_123011.JPG
 
NICK WA PILI NA MKE WAKE: Hawa bwana walifanya watu wengine wote waonekane wajinga kwasababu jinsi walivyokuwa wakiishi mitandaoni mpaka kufikia hatua ya mwanaume kusema hata akipewa nafasi ya kuoa tena atamuoa mke wake kwa mara ya pili ila mwisho wa siku shetani akaingia kati kilichotokea kila mtu alikiona. Watu walienda kula nyama nje ya nchi na ndio ikawa mwanzo wa matatizo yao.
Bila wakili wangu Lamomy naomba nsiongee chochote
 
Kuachana hakuna uhusiano na ku-post au kutokumpost mke au mume.

Listi ya wanaoachana na hawajawahi kuwapost wenza wao ni kubwa kuliko waliowahi kuwapost.
Hivyo kiutafiti na logically tunasema hakuna uhusiano wowote baina ya kuachana au kuibiwa mwenza na kumpost mitandaoni
Ok my point ni kwamba wanaopost halafu wakija kuachana maumivu yake ni tofauti na mkiwa private angalia dokta mwaka mpaka kafunga comment section wananchi wanamuandama and that is my point kwa nini ujipe stress kwa kitu kinacho epukika mbona taikoni unaniangusha au hujasoma content yote umesoma title tu.
 
Shida mnaoa wake za watu

Hata mtu akioa Mwanamke Bikra na asimpost popote. Tena amwekee walinzi na makomandoo
Uamuzi wa mtu ku-cheat uko mikononi mwake na haihusiani na kumuanika au kumficha ndani.

Kinachoonekana ni kuwa wapo ambao furaha yao ni ku-post vitu wanaovipenda. Wapo wanapost magari, wapo wanapost nyumba zao, wapo wanaopost maua n.k.
Kila mtu apost kinachomfurahisha.
 
Yani watoto wa mama mkwe wasitupost kisa tutaachana?? Kila nyakati zina raha zake na km ilipangwa kuchapiwa, utachapiwa hata usipompost. Na km kuachana mtaachana hata usipompost..!!!
Muhimu ni kuishi wakati uliopo wa sasa, ujao wote hatuujui.!!

Nasemaje wanaume tupostini na mkiishiwa bundle semeni tuwatumie mtupost 🤸‍♀️🤣🤣🤣
 
Ok my point ni kwamba wanaopost halafu wakija kuachana maumivu yake ni tofauti na mkiwa private angalia dokta mwaka mpaka kafunga comment section wananchi wanamuandama and that is my point kwa nini ujipe stress kwa kitu kinacho epukika mbona taikoni unaniangusha au hujasoma content yote umesoma title tu.

Maumivu ni yaleyale mkuu.
Maumivu kwenye Mahusiano ya ndoa na mapenzi hutokana na kiwango cha mtu jinsi alivyopenda na sio Watu wanaojua hayo mahusiano au jinsi alivyogharamika au kumpost.

Ndio maana wapo wanaojiua kwa kuachwa na hawajawahi kuwapost wenza wao. Lakini hao uliowataja na wengine wengi wanaopost unakuta leo akiachana na huyu kesho anapost mwingine.
 
Hata mtu akioa Mwanamke Bikra na asimpost popote. Tena amwekee walinzi na makomandoo
Uamuzi wa mtu ku-cheat uko mikononi mwake na haihusiani na kumuanika au kumficha ndani.

Kinachoonekana ni kuwa wapo ambao furaha yao ni ku-post vitu wanaovipenda. Wapo wanapost magari, wapo wanapost nyumba zao, wapo wanaopost maua n.k.
Kila mtu apost kinachomfurahisha.
Hao ni wale muda wote wanafatilia nani kafanya nini?? Wakati wenzao wanakula raha wao wanasononeka na msemo wao “MTAACHANA” 😂😂😂
Hawajui hata wakiachana lkn raha wamepata
 
Hata mtu akioa Mwanamke Bikra na asimpost popote. Tena amwekee walinzi na makomandoo
Uamuzi wa mtu ku-cheat uko mikononi mwake na haihusiani na kumuanika au kumficha ndani.

Kinachoonekana ni kuwa wapo ambao furaha yao ni ku-post vitu wanaovipenda. Wapo wanapost magari, wapo wanapost nyumba zao, wapo wanaopost maua n.k.
Kila mtu apost kinachomfurahisha.
Hakika kumuanika tu mpenzi hakumpi ruhusa au siyo kigezo cha yeye kwenda kuzagamuliwa, mwanamke anazagamuliwa kwasababu amakubali kutoa papuchi yake.
 
Back
Top Bottom