Wanawake wana roho mbaya sana

Respect yangu kwa wanawake ilizidi nilipokuwa 4th year intern obstetric & gynecology .. my 1st day to assist process nzima ya labor .. si mchezo wakuu!!.. na hapo ni hizi nchi za wenzetu wanapigwa epidural kupunguza maumivu huko kwetu tanzania vijijini wanazaa kwa uchungu .... nakuwa disappointed & nakasirika sana mtu akitukana lile tusi la mama hata kama hajanitukana mimi .. i know nini kinachowapata wakiwa katika process nzima ya kukuleta weye duniani

RESPECT WOMEN!
 
Hahahahaaa! Ukweli unauma sana!!! afrodenzi; huo ndo ukweli japo huwa hatusemi hadharani, tu narembesha kidogo kusifia na kupamba sana wanawake ili tupate mambo yetu! jifanye huoni kitu utapoa......
 

Attachments

  • 398928_182570515203226_296228451_n.jpg
    398928_182570515203226_296228451_n.jpg
    7.9 KB · Views: 231
Respect
yangu kwa wanawake ilizidi nilipokuwa 4th year intern obstetric &
gynecology .. my 1st day to assist process nzima ya labor .. si mchezo
wakuu!!.. na hapo ni hizi nchi za wenzetu wanapigwa epidural kupunguza
maumivu huko kwetu tanzania vijijini wanazaa kwa uchungu .... nakuwa
disappointed & nakasirika sana mtu akitukana lile tusi la mama hata
kama hajanitukana mimi .. i know nini kinachowapata wakiwa katika
process nzima ya kukuleta weye duniani

RESPECT WOMEN!

Naunga mkono hoja yk,uyo c anangalia upande 1 wa shilingi,alafu ana judge kwa ku group yalomkuta au aloyaona anhic wote ndo km alokutana nao we are unique bby!
 
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.

1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.

Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.
Namuunga mkono Afrodanze, ulipaswa kuweka sawa mada, hukupaswa kusema wanawake wote Mkuu, maana yake unaposema wote inamaana hata mama yako, mkweo, bibi yako nk.

Mimi wakwangu wote ndio walionifanya mimi kujivunia hivi nilivyo, tuliishi na majirani zetu vizuri, hapa nilipo mimi na mke wangu tunaishi na dada wa kazi mwaka wa tano sasa kama ndugu, mwanangu amemzoea dada wa kazi kama wa tumbo moja. Ukija kwangu huwezi kuona tofauti ya familia yangu na msaidizi wetu yote hiyo ni kutokana na misingi iliyowekwa na mke wangu mpenzi.

Mimi mwenyewe ni mtafutaji ambaye nalazimika wakati mwingine kusafiri au kuchelewa nyumbani, hivyo namtegemea huyohuyo wewe unayesema ana roho mbaya. Siungi mkono hoja mpaka hapo utakapoleta Schedule of Amendiment.
 
mh wewe una yako binafsi usije kwa namna ya uchokozi naona unajutia kuwa dume tena lisilikuwa gtmen huwezi zalilisha mama yako ungeyasema haya ukiwa tumboni mbona leo usingeleta kapua hapa angekutupilia mbali muulize DR NANI
 
Acha majungu ndugu!!!!!!!!!!!!!!!!! Kuna haja gani kumtaja huyu mama???? Hayo ni maoni yako 2 lakini kwangu mimi naona ni upuuzi mtupu!!!!!! Acha kuchafua watu bana
 
Haya maoni yako yamejaa majungu tupu. Kuna haja gani kumtaja huyu mama sasa!!!!????? Acha ujinga banah!!!!! Huu ni upuuzi
 
halafu mtazaa na hao wanaume wenzenu? Kama kweli tunaroho mbaya tungewaflash toka ni mimba ya miezi miwili, msingekuwepo leo hapa kujifanya vidume.

Bora yule aliyesema wakati wa kuzaa angebana zaidi ili mtoke mfuu
nimeipenda hi umesema kweli
 
Hata nyie wanaume wapo wenye roho mbaya km za paka, au haujashuhudia v2ko vy baba wa kambo nini, waulze wanaojua
 
huyu jamaa kweli amekosa jipya..
for sure ma friend you wer grown in the bottle....
au labda wazazi wako wote ni wanaume!??
 
Hakuna haja ya kuupinga ukweli kwamba baadhi ya wanawake ni wakatili kama walivyo wanaume katika kiwango chao. Hata hivyo hayo ni baadhi tu ya mapungufu katika tabia na mwenendo wa kila mtu... Concluding that all women are rude sio jambo jema sana. Naamini madhaifu walo nayo yanarekebika na pia tuangilie mazuri zaidi yanawezekana tukawa na mengi ya kuiga. Sijui hilo mnalionaje. Naomba kutoa hoja.
 
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.

1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.

Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.

Kwa kweli hata mimi bado najiuliza ni nini hawa viumbe wanabadilika kabisa wanapokutana na hao watu uliowaorodhesha hapo juu. Wengine wanakuwa kama vile wamepagawa na mapepo wachafu.
 
Hakuna haja ya kuupinga ukweli kwamba baadhi ya wanawake ni wakatili kama walivyo wanaume katika kiwango chao. Hata hivyo hayo ni baadhi tu ya mapungufu katika tabia na mwenendo wa kila mtu... Concluding that all women are rude sio jambo jema sana. Naamini madhaifu walo nayo yanarekebika na pia tuangilie mazuri zaidi yanawezekana tukawa na mengi ya kuiga. Sijui hilo mnalionaje. Naomba kutoa hoja.

Mheshimiwa hapa tunaongelea majority siyo baadhi tu kama watu wengine wanavyojaribu kujenga hoja. Tunaweza kuwa tunaongelea takriban asilimia 95% au zaidi ya wanawake. Suala la kurekebishika sina uhakika nalo sana hasa ukizingatia kuwa unakutana naye akiwa ni mtu mzima ambaye tayari ana misimamo yake iliyojengeka kwa muda mrefu. Sipingi ukweli kuwa wametuzaa na kutulea na pia ni madada ila ukweli unabaki palepale kuwa wana changamoto kubwa wanapokutana na ndugu wa mume.
 
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.

1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.

Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.

Naunga mkono hoja kwa asilimia mia!
 
Back
Top Bottom