Respect
yangu kwa wanawake ilizidi nilipokuwa 4th year intern obstetric &
gynecology .. my 1st day to assist process nzima ya labor .. si mchezo
wakuu!!.. na hapo ni hizi nchi za wenzetu wanapigwa epidural kupunguza
maumivu huko kwetu tanzania vijijini wanazaa kwa uchungu .... nakuwa
disappointed & nakasirika sana mtu akitukana lile tusi la mama hata
kama hajanitukana mimi .. i know nini kinachowapata wakiwa katika
process nzima ya kukuleta weye duniani
RESPECT WOMEN!
Namuunga mkono Afrodanze, ulipaswa kuweka sawa mada, hukupaswa kusema wanawake wote Mkuu, maana yake unaposema wote inamaana hata mama yako, mkweo, bibi yako nk.Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.
nimeipenda hi umesema kwelihalafu mtazaa na hao wanaume wenzenu? Kama kweli tunaroho mbaya tungewaflash toka ni mimba ya miezi miwili, msingekuwepo leo hapa kujifanya vidume.
Bora yule aliyesema wakati wa kuzaa angebana zaidi ili mtoke mfuu
Naunga mkono hoja yk,uyo c anangalia upande 1 wa shilingi,alafu ana judge kwa ku group yalomkuta au aloyaona anhic wote ndo km alokutana nao we are unique bby!
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.
Hakuna haja ya kuupinga ukweli kwamba baadhi ya wanawake ni wakatili kama walivyo wanaume katika kiwango chao. Hata hivyo hayo ni baadhi tu ya mapungufu katika tabia na mwenendo wa kila mtu... Concluding that all women are rude sio jambo jema sana. Naamini madhaifu walo nayo yanarekebika na pia tuangilie mazuri zaidi yanawezekana tukawa na mengi ya kuiga. Sijui hilo mnalionaje. Naomba kutoa hoja.
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.