kwa ujumla wanawake kuanzia 30 na kuendelea
wanakuwa watulivu.......
Tatizo watu siku hizi wanaiita used mara gobore......
But since mapenzi sio sex peke yake.the older the better...
Wewe kama una 50 basi nakushauri uanze na 30 na kuendelea..
Usijisumbue na wasichana wa 18-26 unless awe ameshazaa,kidogo
anakuwa mature......
mi namwalimu wangu wa primary kanipiga age gap bt yupo fresh,muelewa ila anawivu cjaona,mcheshi ila anapenda kusoma magazeti ya udaku,anajua kupika,daah sita kwa sita anatikisa dunia mzima,jamani umri, umri umriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
dogo huyu hapa, ile nimemwambia tu bado kidogo arukie screen akufate. Fanya uje, nisharekebisha mambo.naunga mkono hoja kwa vitendo...hakuna dogo huko mpwapwa unipooze nae
Hivi hus unakaa mpwapwa eeee unapanda daladala la kwenda wapi huko? wasalimie nduguzdogo huyu hapa, ile nimemwambia tu bado kidogo arukie screen akufate. Fanya uje, nisharekebisha mambo.
du weye wafaa kweli.....baada ya masaa kadhaa una ugeni wanguvudogo huyu hapa, ile nimemwambia tu bado kidogo arukie screen akufate. Fanya uje, nisharekebisha mambo.
unapanda gari ya kuja dodoma mpenzi, karibu.Hivi hus unakaa mpwapwa eeee unapanda daladala la kwenda wapi huko? wasalimie nduguz
usiuwekee, nisije nikahairisha haka kaserengeti nimpe sweetlady.du weye wafaa kweli.....baada ya masaa kadhaa una ugeni wanguvu
Ahsante mwali huko ndio penyewe natumaini hakuna foleni kama huku kwetu lol hali ni tete ssanaunapanda gari ya kuja dodoma mpenzi, karibu.
Naungana na wewe.Sifa alizotaja zina reflect caring. Na wanawake pia wanapenda typer ya wanaume WA sampuli hiyo.boss u might be right .................lakini wanawake wengi zaidi pia wanapenda kuwa na wanaume waliowazidi umri.
wanawake wengi wanatabia ya kupenda kuongozwa na hudhani kuwa unapokuwa na mwanamme wa umri mdogo kuliko wewe suala la kumuongoza linaweza kutokea. ( ndo maana wanaenda kwa wanaume waliowazidi umri)
nafikiri pia inakuwa rahisi kutoa respect kwa mwanamme alokuzidi umri kuliko ulomzidi. sijui ni wanawake wote au vipi lakini kuna tendency ya kuweza kupelekea majibizano iwapo mwanamme umemzidi umri.