Wanawake wakubwa ndio wanafaa zaidi.

Hahaha!.. Mi mzma sana! Naiman we pia uko poa!..vp na wewe hutafuti kiserengeti? Nna young bro hapa...lol..
hahahaha! Unataka na mimi nilalamike 'niache na uzee wangu, niache' kweli hunipendi sweetldy.
 
Aisee mi loves you sana, ila sasa nataka hii sredi ya the boss tuifanye kwa vitendo zaid ili tujue ukwel uko wapi!..lol.
sredi ya the boss inatania tu, ipo mmu kwa muda...Hako kaserengeti ngoja kakue kue kwanza.
 
Jamani kuna topic mbili zinaendelea hapa
ya first lady na mwanakijiji kuhusu nini wanawake wanataka
na vice versa imenifanya nigundue kitu hivi ambacho
nimeona ni share na nyinyi......

Siku zote nimekuwa na a thing for older women......

I mean toka nilipokuwa mdogo nilikuwa na prefer
ku date wasichana walionizi umri...
Nilipokuwa primary nilikuwa napendelea walionizidi
madarasa..secondary hivyo hivyo....
Mimi o level na date high school...
High school na date college girls....
College nilikuwa na date mpaka walimu....

Kukiwa na msichana 21 na 28 nilikuwa na prefer 28,
28 na 38,na choose 38........

Kwa kiasi fulani nipo hivyo mpaka leo........

Anyway pointi hapa ni kuwa the older a woman become the wiser also she become....

Kwa hiyo kwa wale wenye matatizo ya kupata mpenzi anaefaa
huwa nawa advise wajaribu older women,
wajaribu waliokuzidi umri.the older the better......

Kuna faida kubwa sana mwanaume unapata unapo date older women...

1.watakufundisha vitu usivyovijua...
2.utajifunza ku respect mwanamke..
3.wanawake wakubwa hawana usumbufu sana..
4.utaelewa namna ya kubeba majukumu yako mapema
kama mwanaume
5.kwenye sex hawataogopa kukuambia au kukuonyesha
ujuzi mpya...
6.mostly wanakuwa for love na sio for money....
7.watulivu zaidi..
8.wasikivu na wana ushauri mzuri zaidi..
9.hawana wivu sana.wanaweza kukuruhusu uwe na mwingine
bila tabu.wawe wawili...
10.utajifunza tofauti ya sex na intimacy....na tofauti ya love na lust....
11.wepesi wa kusamehe....
12.wakipenda wanapenda kweli...
13.siku zote wanakuwa na time for you.

Ukiulizwa Ulikuwa wapi utajibu nini mkuu maana the older the best...mhhhhh mie naogopa kufundishwa uwanjani....
 
Back
Top Bottom