Wanawake wa kibongo na wivu huu

Limits .........mhhhhhh but how do you limit meeting watu?

Siyo limit ya kukutana na watu, bali kujenga mazingira ya kwamba nilikua na fahamu watu na nina marafiki kabla hatuja fahamiana... Na ninaamini ukiweka wazi mambo na unamake sure unamtambulisha mpenzi wako kwa mabeste na unafungua mlango wa yeye kutambulisha wakwake...

Na siku zote wewe kama unaibaga njee basi lazima uone wivu kwa yeyote mwenzako anaye msalimia...
 
Hata wanaume wapo wa hivi. Kwa vile yeye hawezi kuwa rafiki na mwanamke bila kumtamani, unakuta nae anaamini kuwa mpenzi wake hawezi kuwa na urafiki na mwanaume bila kuwa na uhusiano wa kimapenzi. it is very low thinking. Muhimu urafiki huo uwe wazi tu. Kama huwezi kum-hug mbele ya mwenza wako, acha kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom