Wanawake wa ki-Tanga

mimi huwa siwatamani, nikiwaangalia tu, huwa napata taswira kuwa ni wanawake watoa tigo, watia limbwata, wanaotumia sana madawa, wenye majini ya mahaba, etc. kusema ukweli, asilimia sabini ya wanawake wa tanga wana mapepo ya ngono....

nshakujua kwa nini unasema hivyo,nchi yenu hiyoooo mmeshaitia vidole kwa mambo hayohayo
 
Unafanya masihara na maji ya hiliki yaliyotiwa mdalasini unapewa ukaogee, mchuzi mzito na chapati za rose, chai ya maziwa iliyowekwa sijui makorokoro gani. Ukija kitandani kuna mkao mmoja unafahamika sana ila hili ni jukwaa la mapenzi si busara kuutaja ila ukipewa huo kaka unapeleka kesho mshahara wako na bonuse zote kwa bibie. Kuna jamaa yangu nilienda nae kikazi tanga akahamia kabisa huko nikarudi peke yangu Dar.

Booo....Tuuuuuuu
Jamaa yaelekea kalala doro!!
 
washirikina, mi naaishi Korogwe nikimtaka namtoa out, alafu nachukua chumba sijawahi kutongoza huwa nawabeba tuu
 
Back
Top Bottom