DJ BABU
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 209
- 0
booo!!!
mooo
booo!!!
Muulizeni mwasakafyuka na mtaji wake wa nazi
alibebwa mgongoni,
korodani ziliwekwa kwenye kisosi,
maji ya kuoga yaliungwa ka pilau.......
We acha tu
jamani sijakuzomea ila nimeshangaa kikwetu,samahani mwayamooo
jamani sijakuzomea ila nimeshangaa kikwetu,samahani mwaya
mhh mimi hata sijui hayo ya kariakoo,ila nnchojua watanga ndio wenyewe wengine wanajikongoja,nna miaka kama 6 sijawahi fika kariakoo mwaya
inakuwaje nanii (napata shida sana na jina lako) we mtanga nini?
yap msegeju,ushawapata hawa ila wengi wanawajumlisha kama wadigo
yap msegeju,ushawapata hawa ila wengi wanawajumlisha kama wadigo
mimi mdigo il sifa zetu sizijui naomba msaada tafadhali
jamani naombeni sifa za wanawake wa tanga a.k.a ki-tanga.kwa kila kabila i mean wasambaa wanasifa zipi,wazigua,wabondei na wadigo.:noidea:
yap msegeju,ushawapata hawa ila wengi wanawajumlisha kama wadigo
Mnajua kudeka nyie mwisho!
oyaa uko singo au kolabo?
Wapemba wameacha magorofa yao kariakoo kwa akina mama wa kitanga. Karibu sana Dar mpendwa mie niko naganga njaa tu mjini kama wengine ukija nipm tu.
nshawahiwa siku nyingi sana,na hata mdogo sina tehe tehe tehe!!!
ayaaaaaa vipi nikawa spea tairi?
ayaaaaaa vipi nikawa spea tairi?
umejuaje sio kudeka tu na kudekeza pia
hilo vumbi na joto mnaliweza wenyewe,sisi wengine tumezoea kipupwe cha ukweli,ndoa yangu naitunza kama anavyotunzwa mtoto alozaliwa kabla ya sikuUnakumbuka mwanzoni nimekuambia nawafahamu vizuri mabinti wa kitanga hivyo nayajua makabila mengi na kwenu nawafahamu mabingwa wa kudekeza na kudeka ila vema umeshaolewa itunze ndoa yako. But karibu sana Bongo darisalama ila kuna joto kiama huku sijui kama utakuweza maana nyie watu raskazone kipupwe taratibu utaliweza vumbi letu?