Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Kwakupenda mapochopocho hao????
Kweli.
Kwakupenda mapochopocho hao????
Ungekuwa mdigo nngekwambia hahah
Na kwa usangoma pia ogopa hahahahahaShosti hyo ya wachaga mbn inanitisha! Ni kwamba wana-lead kwa kuendekeza masuala ya usangoma au kwa umama huruma? Maana ya umama huruma kama kweli vile!!
Wambea, washari, majisifu na hupenda sana bifu.
Wanajua kupika, wazuri kitandani, wakarimu, wana upendo,
ila pia wanapenda mambo ya waganga, hawapendi kujishughulisha na kazi za kiuchumi, wanapenda kujionesha halafu wana kadharau na kaujeuri kwa mbali hasa unapomkorofisha..
Shosti hyo ya wachaga mbn inanitisha! Ni kwamba wana-lead kwa kuendekeza masuala ya usangoma au kwa umama huruma? Maana ya umama huruma kama kweli vile!!
mimi mdigo il sifa zetu sizijui naomba msaada tafadhali
semeni sana tu,ila tuko juuuuumdigo ni mzigo..........
siku hizi hakuna cha mtanga wala nini kwa upande wa ndumba,na umejuaje mwenzio anatumia ndumba kama na wewe si walewale
ndio maana nikasema sio wote wenye tabia mnzozisema,inategemea na aina ya malezi uliyolelewa na hilo la kusoma si hawa wa sasa bwana wale wazamani nakubali ila wa sasa wengi wanasomaShosti mie nawafahamu vizuri,
Kwanza ni wazuri wengi wamechanganya kidogo na uarabu wanakuwa na weupe au kama sio weupe wana vinywele vya kiarabu. Kuhusu tabia ukimpata aliyelelewa nyumba yako imehifadhika sana. Ila ukimpata hajalelewa ndio hasara wepesi sana kugawa uroda, kitandani naona wanaongoza kuliko makabila mengine (maana nimejaribu jaribu sekta zengine mh ushirikiano zero), wachawi sana ila ukimuweka mungu mbele poa tu maana siku hizi hata makabila yasiyojulikana kwa uchawi yanashika kasi, wanamipango ukifanya mchezo anaweza kukupita kiuwezo kama wote mnafanya kazi, hawaombi hela ila utatoa mwenyewe baada ya kupewa shughuli nzito usiku (ndio maana tanga kunaitwa waja leo waondoka leo?), hawajasoma wengi hivyo unaweza kuwa na kazi ya ziada, mahodari kupika unaweza kusahau kwako kama mkeo hajui kupika, wanajua kupetipeti maana mwanaume unaweza kujikuta unagawa nyumba ya ukoo hivihivi kwa mambo ya kulelewa unayopata huko mengine mtajazia
ndio maana nikasema sio wote wenye tabia mnzozisema,inategemea na aina ya malezi uliyolelewa na hilo la kusoma si hawa wa sasa bwana wale wazamani nakubali ila wa sasa wengi wanasoma
Kwa hilo nakubali mpendwa,ila humu wachangiaji wengi wana hasira sana na watanga sijui kwa nini hahahahahahahaahShosti nilikuwa huko karibuni ni kweli nimefurahishwa na mwamko wa elimu huko nadhani wameona umuhimu, na hilo litasaidia kupunguza umaskini uliokuwa ukinisikitisha but nadhani niko sahihi kuwa wa zamani wengi shule walikuwa hawana.
Kwa hilo nakubali mpendwa,ila humu wachangiaji wengi wana hasira sana na watanga sijui kwa nini hahahahahahahaah
Booo!!!Muulizeni mwasakafyuka na mtaji wake wa nazi
alibebwa mgongoni,
korodani ziliwekwa kwenye kisosi,
maji ya kuoga yaliungwa ka pilau.......
We acha tu