Wanawake wa ki-Tanga

22nd

JF-Expert Member
Aug 1, 2010
495
137
jamani naombeni sifa za wanawake wa tanga a.k.a ki-tanga.kwa kila kabila i mean wasambaa wanasifa zipi,wazigua,wabondei na wadigo.:noidea:
 
jamani naombeni sifa za wanawake wa tanga a.k.a ki-tanga.kwa kila kabila i mean wasambaa wanasifa zipi,wazigua,wabondei na wadigo.:noidea:

Sifa za nini?
Kujua kupika?
Kwa Uongo?
..................
..................
Tuweke wazi tuzimwage humu!
 
Sina hamu, najuta kuwafahamu. Ni washirikina big time, ukiwa nao mweke Mungu mbele hayakupati.

Usiwaogope sio wote bwana,inategemea na jinsi mtu alivyolelewa na aina ya wazazi wake,kama hawakuwa wanashiriki mambo hayo wewe huwezi
 
Wanajua kupika, wazuri kitandani, wakarimu, wana upendo,
ila pia wanapenda mambo ya waganga, hawapendi kujishughulisha na kazi za kiuchumi, wanapenda kujionesha halafu wana kadharau na kaujeuri kwa mbali hasa unapomkorofisha..
 
sio wote bwana,nafikiri kwa sasa wachaga wanatisha kwa hii kitu

Shosti hyo ya wachaga mbn inanitisha! Ni kwamba wana-lead kwa kuendekeza masuala ya usangoma au kwa umama huruma? Maana ya umama huruma kama kweli vile!!
 
Back
Top Bottom