Wanawake wa JF mnaopenda ku-flirt na wanaume msiowajua!!

Au watu wamekimbia na bill nini?
Acha kujiuza wewe kenge
 
nani akutolee povu wewe kilaza? Tunajaribu tu kukusaidia kisaikolojia! Huyo mwanamke wa JF aliyekupiga bao ukiwa na mumeo kitandani anastahili pongezi!
Endelea kutoa povu!
hunijui sikujui, povu unamtolea nani sasa!!
unachekesha.
 
halafu haka kamsemo ka Nitarudi, ngoja nigeuze samaki wanaungua.

mbona kana ile ladha ya ''babu anarudi kitandani''.......

huyu eliza atakuwa mjukuu huyu:eyebrows::eyebrows:
 
wewe ni mwanamke mpuuzi kuliko wote walio JF...waambie wenzako wakufundishe namna ya kuishi hapa Jamvini! hata wiki huna umeshaanza kutumia lugha za kwenye madanguro

hakuna mgeni hapa....soma vizuri katikati ya mistari.......

 
mwanamke unaachwa??
kwani hujui mbona wewe umekimbiwa kwasababu tu ya avatar inaelekea mbaya wewe mwanaume anakukimbia kisa kadata na avatar ya jf ? Je akituona live si atakupa semi trela la talaka?
Mwanamke mvuto babuuuuuuuu mengine majaliwa inahuuuuuuuuuuu........................

 
Back
Top Bottom