Wanawake wa JF mnaopenda ku-flirt na wanaume msiowajua!!

Huko alipo nna hakika anatamani kurudi bar kama Kaizer ila daaah ndio hivyo tena....

ujue bora asprin angekuwa amerudi kitandani kwaajili ya ukaguzi lol. Mwaka ni wake huu.

hahahah hommie atakagua sana mwaka huu mbona? mwaka wenyewe kwanza mbichiiiiiiiiiiii:poa
 
Sio changamsha jamvi my swt. SERIOUSLY kwa mara ya kwanza sijisikii kabisa kubaki humu.
Unatakiwa (if you wish to know wat am talking about) usome mpaka pg namba 18.
Lakin kwa kifupi ni kuwa huyu "Eliza wa Tegeta" amesemwa ni CPU aliyefungua account ya kike. Teamo ndio msemaji
Sijajua mpaka sasa aliwaza nin mpaka anihusishe Eliza na mimi??

Na kwa vile hajakanusha mpaka sasa, na wala huyo Eliza wa Tegeta hajawahi kukanusha wala kukiri kuwa ni CPU, hii imefanya ionekane yote aliyofanya Eliza hapa ndio tabia yangu. Ukizingatia natumia Profile picha ya kweli hapa JF ambayo ndio mimi kabisa. Tayari imeonekana Teamo ananijua vizuri tabia yangu, na sasa navuna mshahara wake . . . .
Daaaaaah . . . .

Kaaazi kweli kweli. . .
Pole.
 
Back
Top Bottom