Wanawake wa JF mnaopenda ku-flirt na wanaume msiowajua!!

Wanaume wote wa JF jukwaa hili la MMU by the powers vested in me by myself nawakataza kuchangia hii mada na kuwaagiza kila mmoja achukue bia na kuagiza nyama choma au popcorn na kukaa pembeni. Tuwaache dada zetu wapeane elimu. Ila mnaruhusiwa kuendelea kuzungumza kwenye PM

MMM
 
kwani hujui mbona wewe umekimbiwa kwasababu tu ya avatar inaelekea mbaya wewe mwanaume anakukimbia kisa kadata na avatar ya jf ? Je akituona live si atakupa semi trela la talaka?
Mwanamke mvuto babuuuuuuuu mengine majaliwa inahuuuuuuuuuuu........................


halo halooooo.....
ugali haunyonywi babu weeeee......
kisigino hakikai mbeleeeee..........
Mueleze........

 
Heee sasa na wewe povu la nini huyo ni Eliza wa Tegeta
Kaka wala hujakosea,huyu atakuwa mwenyeji bwana angalieniandika yake mtajua,
Mie nishastukia hapa,
Hata Mh.Babu yangu ODM bingwa wa kusoma ktkt ya mistari atakua keshaistukia!!!
 
Wapashe wapashike mwaya......
Wapi kokoto wajameni.....na taska....
Kumbe wiki haijaisha....

RR ile Pm nimeshakujibu ,,naona tuendelee hapa hapa barazani.
Mishikaki wapi mida ya saa mbili mbili angalau leo tupumzike kutongozana PM
 
Wanaume wote wa JF jukwaa hili la MMU by the powers vested in me by myself nawakataza kuchangia hii mada na kuwaagiza kila mmoja achukue bia na kuagiza nyama choma au popcorn na kukaa pembeni. Tuwaache dada zetu wapeane elimu. Ila mnaruhusiwa kuendelea kuzungumza kwenye PM

MMM

Afadhali wewe umetumia busara. Leo ninao tu, wanaofikiri nimevunja sheria za JF waende kwa Max.
Wanaofikiri mi mshamba, waninunulie power tiller
wanaofikiri wananijua, waje kununua samaki hapa gengeni basi.
:juggle:
 
Huyu tumeshamshtukia kitambo!
Ni walewaleeeeeeeeeeee...mpotezeeni.
Na hii thread yako ishakutia gundu.Utajuuta!
 
Hovyoooooooo!!!
Kazi kushinda kwenye PM na wanaume hata kuwajua hamuwajui, wenyewe mnajifanya mnachart, unachart na mtu humjui?
Chat gani hizo za saa nane, tisa usiku, mnataka nini!! hamna wame nyie? au hao wame enu mazezeta sana, mmewaendea kwa waganga. Au wame zenu wapole na mnawaona wapuuzi???

Nawauliza nyie wanawake wa JF, hasa nyie mlioolewa nyie, mwanamke umeolewa, lakini wewe na mtandao, mtansdao na wewe...ok, basi sio mbaya kuwa mtandaoni, lakini mtandaoni kazi ni PM, kuflirt na wanaume hata kuwajua hamuwajui, wengine mna-flirt na marafiki wa waume zenu bila kujijua.



Nitarudi, ngoja nigeuze samaki wanaungua.

we bi shost inaelekea ndo mchezo wako alafu ebu pika kwanza
 
Back
Top Bottom