sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
me nakataa kwan kuongea sana ndo kusema uongo kha! Madame B, Kongosho, sweetlady, marejesho Elizabeth Dominic, beibe nasty na wadada / wamama wote wa humu chit chat hebu njooni tumsute!
Nimekuja lovely sis charminglady lol........kuongea sana sio kusema uwongo......kuna watu huwa hawasemi sana ila ni waongo hao......tena mie naona wanaosema sana wana afadhali
Last edited by a moderator: