Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,342
- 5,536
wewe! umetumwaeeh!?
Last edited by a moderator:
Afu wewe mbona unatuchonganisha?.......huo ugomvi unaletwa na nini?
Hahahahaaa ni kweli wanaume lakini hao wanaume si wanadanganywa nawanawake?
Ila mi simo ingawa ni mwanaume
ndio maana naogopa!
Blaki Womani naomba suala hilo aulizwe bwana mdogo Nicas Mtei anajua aliko huyu binti mi sina neno hata kidogowakati wanadanganywa na wao wanakuwa wanadanganya.........vipi Kabakabana hajambo umekuja nae au umemwacha huko huko
wakati wanadanganywa na wao wanakuwa wanadanganya.........vipi Kabakabana hajambo umekuja nae au umemwacha huko huko
Madame B ninong'oneze hawa vijana wa kileo wanaogopa niniShem hata wewe unaniogopa?
umesema Nicas Mtei amewekwa kinyumba na Kabakabana....... Asprin wajukuu wanaleta maafa mjiniBlaki Womani naomba suala hilo aulizwe bwana mdogo Nicas Mtei anajua aliko huyu binti mi sina neno hata kidogo