Wanawake vs wanaume... Nani anadanganya zaidi kwenye simu?

Last edited by a moderator:
Jibu ya hili swali ni gumu kidogo, binafsi naona ngoma droo inategemea na mazingira ya wahusika.

Aahhh!!!! Mkuu usiseme hivyo, labda ujawahi kushuhudia..
Ke ni waongo sana, 80% ya ke ni waongo me ni 20%
 
Niko ndani ya daladala pembeni yangu yuko mdada mara anapokea simu,honey usiwe na wasiwasi hapa niko ndani ya taxi yaani nimechoka kweli ikanibidi nikodi taxi tu,nikifika si utanirudishia hela yangu eeh....
 
me nakataa kwan kuongea sana ndo kusema uongo kha! Madame B, Kongosho, sweetlady, marejesho Elizabeth Dominic, beibe nasty na wadada / wamama wote wa humu chit chat hebu njooni tumsute!

Shoga an'gu me bwana hata sitaki kusema Uwongo.
Wanawake Tumezidi Uwongo Kwenye Simu ,japo Mimi na Wewe hatupo.
Ila kiuhalisia sisi tumezidi,
yani mdada utamkuta anaongopa mpaka wote mnageuka kumuangalia.

Ila Makundi Haya Wamegawana.
Uwongo kwenye Simu-Wanawake,
Uzinzi-Wanaume.
 
Last edited by a moderator:
Kudanganya ni tabia ya mtu huwezi sema nani mwongo zaidi ya mwenzake

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Shoga an'gu me bwana hata sitaki kusema Uwongo.
Wanawake Tumezidi Uwongo Kwenye Simu ,japo Mimi na Wewe hatupo.
Ila kiuhalisia sisi tumezidi,
yani mdada utamkuta anaongopa mpaka wote mnageuka kumuangalia.

Ila Makundi Haya Wamegawana.
Uwongo kwenye Simu-Wanawake,
Uzinzi-Wanaume.

Haa haa haa...umenifurahisha sana kwa kusema ukweli.
Duuh! hako kamgawanyo nimekapenda.
 
Haa haa haa...umenifurahisha sana kwa kusema ukweli.
Duuh! hako kamgawanyo nimekapenda.

Umeona ee!!
Hv inakuwaje mwanaume unamuacha Mkeo kitandani na kwenda ktk chumba cha House girl ku-do nae?
Huogopi jamani?
Ukifumwa?

Wanaume,acheni Uzinzi!!
 
charminglady kusema "kata mshua/maza yuko hapa" mbona kawa tu kwenu? NOTE: Kwa wote I say 50/50 hapo juu

aah, wapi umesahau me anaweza wapanga wadada km wa5 hivi pasipo hao wadada kufahamiana na bdo mkajiita vidume na kujisifia kuwa mwanaume rijali hawezi kuwa na mwanamke m1?????
 
Last edited by a moderator:
Siku nyingine niko zangu mitaa ya feri napata ugali kwa samaki kwenye banda la mama ntilie,akaingia bonge ya sista duu akaagiza ugali kwa dagaa.Ile anaendelea kuushughulikia ugali wake mara simu yake inaita,anajibu honey nimechepuka kidogo niko Sheraton hapa napata lunch,kisha akawa kimya kidogo,ikafuatia hapana usinifuate namalizia nitachukua Taxi tu kurudi ofisini ila usisahau kunipitia jioni si unajua matumizi yameisha.Wote tuliokuwa mule bandani tulishika mbavu zetu tusimuumbue mdada wa watu kwa vicheko...
 
Shoga an'gu me bwana hata sitaki kusema Uwongo.
Wanawake Tumezidi Uwongo Kwenye Simu ,japo Mimi na Wewe hatupo.
Ila kiuhalisia sisi tumezidi,
yani mdada utamkuta anaongopa mpaka wote mnageuka kumuangalia.

Ila Makundi Haya Wamegawana.
Uwongo kwenye Simu-Wanawake,
Uzinzi-Wanaume.

hahaa, shost kwa kuongezea ni kwamba wanawake waongo kwenye simu sasa wanaume ukiongeza uongo wa kwenye simu na uongo wa kwenye uzinzi hakika wanaongoza kwa uongo!!!!
 
Shoga an'gu me bwana hata sitaki kusema Uwongo.
Wanawake Tumezidi Uwongo Kwenye Simu ,japo Mimi na Wewe hatupo.
Ila kiuhalisia sisi tumezidi,
yani mdada utamkuta anaongopa mpaka wote mnageuka kumuangalia.

Ila Makundi Haya Wamegawana.
Uwongo kwenye Simu-Wanawake,
Uzinzi-Wanaume.
hili mimi pia nakuunga mkono madame.
lakini mara nyingi uongo wa wadada huwa ni kwa sababu fulani, na ni mzuri, i.e. inabidi aseme uongo ili aweke mambo sawa. ila kwangu mimi sioni kama hiyo ni njia nzuri ya kuweka mambo sawa maana ukigundulika ulidanganya inakula kwako
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom