Wanawake unganeni; kwa hili Polisi wanawavunjia Heshima .......... (picha)

View attachment 41149

Nimajuzi tu serikali ya Uingereza imesema wanawaweza kutunjima misaada kwa kuto heshimu haki za mashoga, kwa misingi ya haki za binadamu, lakini leo polisi wamedhiilisha ni kiasi gani hakuna haki za binadamu hapa nchi, polisi 9 wa kiume zidi ya mwanamke mmoja (udsm) mbaya zaidi huyo dada kashikwa shika kama mtu na mpenzi wake.
Hivi hatuna polisi wa kike kwenye matukio ya Ghasia? au nchi hii ukienda kinyume na matakwa ya watawala haki zako za binadamu zinapotea?
kabla ya haki za mashoga tuanze na ili watu wote hasa kina mama tuungane kupiga vita huu ujinga.

Inaoneka haya ni matendo yanayotokana na kitu inaitwa Inferiority complex yani police wetu ni loosers in both educational wise ni 7 or formIV failures na financially wanatisha! So wanapokutana na migomo be either students, workers au wafanyabiashara wanajaribu kujaza hilo gap kwa kuonyesha kuwa hata kama mmetuzidi kwa hili sisi tunaweza kwa hili!. Unless they get a better educ n better life we will still face same problem
 
Inaoneka haya ni matendo yanayotokana na kitu inaitwa Inferiority complex yani police wetu ni loosers in both educational wise ni 7 or formIV failures na financially wanatisha! So wanapokutana na migomo be either students, workers au wafanyabiashara wanajaribu kujaza hilo gap kwa kuonyesha kuwa hata kama mmetuzidi kwa hili sisi tunaweza kwa hili!. Unless they get a better educ n better life we will still face same problem

basi kuwe na polisi maalumu wanaowaongoza wenzao kwenye masuhala yanayohusu wasomi wetu, hii hali ni hatari
 
Nina jamaa yangu alikuwa polisi akaacha hiyo kazi nikamuuliza akasema alichojifunza ni kwamba alifundishwa kuto kufikiri hivyo anapenda kuendelea kufikiri. Maana hao jamaa wanaweza kwenda kukamata mtoto wa chekechea na mabomu ya machozi na bunduki eti kwa sababu amecharuka anawachapa wenzake shuleni. Nimeona ujinga wao wakati wa tukio la mbeya, vijana watano wa gereji wakiwa na overall zao za kazi waliingia kwenye hiace, wakapigwa mabomu mawili ya machozi wakiwa ndani na kisha kupigwa fimbo wakati ile gari ilikuwa gereji na ilikuwa imefunguliwa tairi sasa imagine.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
ndio kametoka depo hako.

lakini hii ni kawaida ya polisi wamekuwa wakifanya hivi kwa muda mrefu, tuseme hapana yatosha, wanawake washugulikiwa na polisi wa kike
kuwa mwanamke hii nchi sio laana, wakienda hospitali kuna madoctor wanawatoa nguo zote kucheck blood pressure wakija kwenye vyombo vya dola wanashikwa shikwa na wanaume tena viunoni bila hidhini yao.
hii tabia tuipige vita
 
yap chuo kikuu watu si wanasoma bure..

hawana vichwa vya kwenda kusoma bure, hivi unadhani kuna mtu anataka kuwa polisi nchi hii, wanapelekwa kama matairi
kuna mmoja morogoro yuko jela kwa kutoa habari za mrasimu ndani ya jeshi la polisi huko morogoro badala la kumpa support ili aweze kuanika huo uozo wammtia mahabusu, kama alimekosea hakuna utaratibu wa kiutu kufuatwa.
Mgazeti ya jana yameandika hii stori lakini hakuna aliyewabana kwa je mtoa habari kama alikuwa sahihi kuna uozo kwa nini wasishungulikie huo uozo wana mshugulikia yeye
hiyo ndio polisi yetu
 
View attachment 41149

Nimajuzi tu serikali ya Uingereza imesema wanawaweza kutunjima misaada kwa kuto heshimu haki za mashoga, kwa misingi ya haki za binadamu, lakini leo polisi wamedhiilisha ni kiasi gani hakuna haki za binadamu hapa nchi, polisi 9 wa kiume zidi ya mwanamke mmoja (udsm) mbaya zaidi huyo dada kashikwa shika kama mtu na mpenzi wake.
Hivi hatuna polisi wa kike kwenye matukio ya Ghasia? au nchi hii ukienda kinyume na matakwa ya watawala haki zako za binadamu zinapotea?
kabla ya haki za mashoga tuanze na ili watu wote hasa kina mama tuungane kupiga vita huu ujinga.

Inauma saaaaana. itume hii picha BBC, Ajazeera, CNN na vyombo vingine vya habari vya kimataifa ili kuonyesha ulimwengu huu jinsi watawala wa tanzania wasivyojali haki za binadamu. Ni muhimu kuchukua hatua sasa kabla mambo hayajaharibika zaidi....
 
Hii mijitu ya ajabu sana haina hata aibu mijitu tisa na silaha mikononi eti wanapambana na binti mmoja ambaye hana chochote mikononi....utafikiri wanapambana na jambazi sugu. Kila mmoja hapo anatamani amshike......shame upon them. TAMWA wanapaswa kuchukua hatua dhidi ya uzalilishaji wa aina hii. Walimdhalilisha mke wa dr. slaa wakaona haitoshi sasa wamerudi kwa dada zetu. It pains a lot.
Ndugu yangu hata kama hawa jamaa kwa udhoefu wangu police wengi Tz ni form four waliofeli ndo maana wanafanya mambo ya ajabu nashangaa kabisa jamaa hawa ni wajinga wapumbavu sana pamoja na serikali ya ccm
 
Inauma saaaaana. itume hii picha BBC, Ajazeera, CNN na vyombo vingine vya habari vya kimataifa ili kuonyesha ulimwengu huu jinsi watawala wa tanzania wasivyojali haki za binadamu. Ni muhimu kuchukua hatua sasa kabla mambo hayajaharibika zaidi....
Hii nimeshafanya through twitter kuna mtu najaribu kuwasiliana naye kuona kama yuko na muda ku storm huu ujinga wa serikali zetu
wapuuzi sana hawa

Cha ajabu ni media zetu wao ndio walimepiga hii picha lakini wakaona ni ya kawaida tu na hakuna tatizo, walipo running story waliongelea mandamano ya wanafunzi UDSM basi
tunaitaji critical thinkers kwenye vyombo vya habari nchini
 
Mimi niulize kulikua na ulazima gani kumshika yule dada vile??? Kuna watu humu ndani wamesema wamemshika kama mke wake ila mimi na pinga hata mke wako huwezi kumshika vile mbele ya watu waliokuzunguka vile...Yule askari amemshika yule dada kama vile anambaka kwa nguvu, neno nililotumia linaweza kuwa kali ila unyanyasaji wa kijinsia aliofanya huyo Askari ni mkali zaidi ya hayo maneno.Na niaibu ya Taifa na Jeshi zima la polisi.
 
Hivi hakuna sheria zinazowalinda watu (esp. wanawake) dhidi ya udhalilishaji kama huu wa polisi? Mtu anapaswa kuwa treated kama siyo mhalifu mpaka pale anapohukumiwa kuwa ana hatia ndo anapaswa kuwa treated kama mhalifu. Hatuna sheria zinazoweza kutumiwa na watu kama hawa dhidi ya udhalilishaji wa polisi? Polisi kama huyu anapaswa kufunguliwa mashitaka ya udhalilishaji kwa kumshika kiuni/makalio huyo binti bila ridhaa yake.
hata mhalifu anaadhibiwa kwa kutumia sheria iliyo mkamata na uhalifu. hakuna sheria hata moja inayosema polisi wafanye haya wanayoyafanya kwa huyu binti.

hii sio mara ya kwanza, kuna siku mgambo jiji (dar) walimbeba mama muuza ndizi kariakoo wakiwa wamemshika wengine miguu wengine mikono ( machela) akiwa mapaja waji na maziwa yanaonekana, ni mama mtu mzima. hakuna mtu alisema chochote.

tunao mama zetu wana nafasi nyeti ktk serikali yetu , huu ni wakati wao kutetea utu wao. kwangu mimi mmananke mmoja akidhalilishwa ni wanawake wote wamedhalilishwa, tusifikiri kwakuwa siyo sisi basi tuache yatendeke

kibaya zaidi jamii yetu kwa ujumla nayo inamatizo. ikiwa mtu anadhalilishwa wakati akikamatwa anafanya kosa, huwa tunasema " naye akome , kilichomfanya afanye kosa ni nini". hizi lugha ndo zinatuua leo. haki ya mtu haiharibiwi kwa yeye kuwa mtuhumiwa , akiwa mtuhumiwa anaendelea kuwa na haki zake. hata akikutwa na hatia, narudia tena ataadhibiwa kwa adhabu iliyotafsiriwa kosa lake na si vinginevyo
 
Hio inaonyesha tulivyokuwa na askari wapuuzi, wajinga na washenzi! Kisha waoga na maruhani wakubwa watoto wa shetani kabisa yaani kama kweli wao ni askari si wangeenda kuwakamata wanaume? sasa askari kibao wanakang'ang'ania kabinti ambako hakawezi kufanya lolote? washenzi wakubwa hawa! Yaani hata alietoa hio amri nae hana akili kabisa! Haowezekani askari wamkamate mwanamke tena ambaye hajakimbia huku wakiacha wengine! Narudia tena kuwa ni wapuuzi, wajinga na washenzi, wataishia kuishi vijumba vya mbwa!
 
MODS naomba hii thread iwe STICKY ile watu wote na dunia yote wauone udhalilishaji wa hawa MBWA NA NGURUWE wa Wawatawala wasiokua na akili, na wataishia kuishi kwenye vijumba kama vile wamekuwa Mbwa au kuku, udhalilishaji mkubwa namna hii unakubalikaje? Mbwa kabisa hawa halafu utaskia eti wataunda TUME ya uchunguzi, MODS tafadhali naomba niwatukane japo kidogo tu! TAMWA mko wapi? WLS mko wapi? Mbona ushenzi kama huu unavumiliwa? Mbwa kabisa hawa, nasema hawa ni mbwa pamoja na aliewatuma kasoro mkia
 
Na wataishia kutumiwa kama TOILET PAPER au Mpira ndio laana yao, hawataka wajenge, wala wafanye mambo ya maendeleo na watakufa vifo vya aibu zaidi ya GADAFFI!!!!!
 
Back
Top Bottom