Wanawake unganeni; kwa hili Polisi wanawavunjia Heshima .......... (picha)

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
View attachment 41149

Nimajuzi tu serikali ya Uingereza imesema wanawaweza kutunjima misaada kwa kuto heshimu haki za mashoga, kwa misingi ya haki za binadamu, lakini leo polisi wamedhiilisha ni kiasi gani hakuna haki za binadamu hapa nchi, polisi 9 wa kiume zidi ya mwanamke mmoja (udsm) mbaya zaidi huyo dada kashikwa shika kama mtu na mpenzi wake.
Hivi hatuna polisi wa kike kwenye matukio ya Ghasia? au nchi hii ukienda kinyume na matakwa ya watawala haki zako za binadamu zinapotea?
kabla ya haki za mashoga tuanze na ili watu wote hasa kina mama tuungane kupiga vita huu ujinga.
 
baba wa taifa la India Ghadi aliwai kusema
''Ukitaka kujua kama Taifa lina heshimu haki za binadamu au haki inatendeka angalia linavyowatendea wanyama''
Bahati mbaya huyu sio mnyama ni binadamu mwenzetu anayetendewa unyama huo, wanaume wakimshika shika kwa kisingizio cha kutuliza ghalia, ina maana nchi hii ukitenda kosa na haki zako zinafutika? nachojaribu kusema ni katiba gani inawapa polisi wa kiume mamlaka ya kushikashika dada zetu?
niliwahi kuongea na dada mmoja aliyewai kutendewa vitendo kama hivi na polisi yeye alisema '' ina huma sana na kamwe haitoki moyoni mwako'' alienda mbali zaidi kwa kusema maneno wanayotumia polisi kipindi wanakufanya hivyo ni makali kuliko hata tendo lenyewe,
Taifa linatengeneza waathirika ya kiakili wasiojulika na misingi ya haki za binadamu kuvunjwa.
Ni majuzi tu Uingereza wametishia kutunyima misaada kama hatuheshimu haki za mashoga, sijui matukio kama haya wanayapa sura gani
 
Mkuu mie nimeiona hii picha nikaacha kuiangalia..ni ya kawaida kwa watu wasio na uwezo wa kuchambua mambo...ina maana kubwa sana kwa haki za wanawake na binadamu kwa ujumla...huyo askari mmoja kamshika sehemu za kiunoni binti wa watu sasa ndio nini?...agrrrrrrrrrrrrrrrr!!!
 
kamshika kama mke wake, binti mwenye anaonekana wangemwambia njooo hapa angekwenda tu mwenyewe sasa haraka za kwenda kumbeba kama mamsupu wake zilitoka wapi?
hawa ni wahuni
 
View attachment 41149

Nimajuzi tu serikali ya Uingereza imesema wanawaweza kutunjima misaada kwa kuto heshimu haki za mashoga, kwa misingi ya haki za binadamu, lakini leo polisi wamedhiilisha ni kiasi gani hakuna haki za binadamu hapa nchi, polisi 9 wa kiume zidi ya mwanamke mmoja (udsm) mbaya zaidi huyo dada kashikwa shika kama mtu na mpenzi wake.
Hivi hatuna polisi wa kike kwenye matukio ya Ghasia? au nchi hii ukienda kinyume na matakwa ya watawala haki zako za binadamu zinapotea?
kabla ya haki za mashoga tuanze na ili watu wote hasa kina mama tuungane kupiga vita huu ujinga.

Nine armed policemen against one woman...this is a shame!!!! It makes a mockery of our security systems and I am completely ashamed of identifying myself with these people. I hope the IGP will see this and do something about these guys because it says very bad things about him and his leadership.
 
Hawa polisi lazima watakuwa na mafunza katika vichwa vyao!MIMATE INEWATOKA KUMKAMA TA BINTI WA WATU ,KUNA ULAZIMA GAN KWA HAWA POLISI 9 kumzonga binti huyu na huyu policcm mwingine ameng'ang'ag'ania kiuno bila aibu! POLICCM NI WAXENG E sana
 
mi nafikiri kuna haja ya jeshi la polisi kujitazama na kujipima mwenendo wake,kuna kipindi wanatumia nguvu zaidi hata isipohitajika,ona hata mbeya yametokea hayo hayo,na matokeo yake machinga wamewazidi nguvu mpaka wameomba msaada hii ni aibu kwa jeshi.
 
That's real disrespectful.......hiyo arresting ya wapi kumshikilia mdada wa watu hivyo?

Au ndo kalitoka depo nini
 
Nadhnani hapa Tz kwa sasa sisi ni wapangaji, muda wote tunaweza kufukuzwa. Kama kweli maadili ya askari yameporomoka kiasi hiki hali ni mbaya sana. Tumpongeze huyu mpiga picha wa Mwananchi aliyeanika huu uozo kwenye front page
 
Hawa polisi sio tu wanawadhalilisha wanawke bali wanatudhalilisha watanzania wote! IGP lazima awachukulie hatua polisi hawa na kumwomba huyu binti na taifa zima msamaha! Miaka 50 ya uhuru binti anadhalilishwa kiasi hiki! Lazima turudi kwenya draw-board tudai uhuru upya utakayempa kila mtanzania heshima anayostahili.
 
Serikali imekosa utu hii.
Hakuna wa kuyakemea haya kwa sababu aliyezalilishwa hapo sio kada wa CCM kama yule DC wa Igunga.
 
Hii mijitu ya ajabu sana haina hata aibu mijitu tisa na silaha mikononi eti wanapambana na binti mmoja ambaye hana chochote mikononi....utafikiri wanapambana na jambazi sugu. Kila mmoja hapo anatamani amshike......shame upon them. TAMWA wanapaswa kuchukua hatua dhidi ya uzalilishaji wa aina hii. Walimdhalilisha mke wa dr. slaa wakaona haitoshi sasa wamerudi kwa dada zetu. It pains a lot.
 
this is more than insane

i swear to god, punish these bustards
 
This is really shame.Mi hua nashindwa kuelewa.Hivi hata kama umetumwa kufanya kazi huwezi kutumia angalau akili yako.Hawa polisi wetu hawana hata common sense.Wako kama ma robbot? I think watawala wameishiwa na mbinu za ku deal na changamoto.Matumizi ya nguvu always hua sio suluhisho sahihi la matatizo.Sasa utaona jumatatu wanafunzi wa chuo watakavyoliendeleza,i know that varsity very well.
 
Back
Top Bottom