'Kama noma na iwe noma' ukweli utabaki ukweli, hali ya nchi yetu kutaka au kufanana na Somalia (nchi iliyokosa serikali kwa zaidi ya miongo 2) imechangiwa kwa zaiddi ya asilimia 60 na wanawake wa nchi hii.
Miaka yote ya uchaguzi CCM huwa karibu na wanawake kwa kuwanunulia khanga,kofia, kuwanunulia chumvi na vipande vya sabuni ili wakichague chama hicho. CCM imetambua kwamba wanawake ni jeshi kubwa na ambalo thamani yake ni ndoogo;ila dhima yake ni kubwa.
Serikali na chama chake imeshindwa kudhibiti bei ya mafuta ya taa.Imekubali wananchi wake wauziwe mafuta ya taa kwa bei kubwa kwa kuogopa kuwakamata wachakachuaji. Leo bei ya sukari inapaanda kila uchao kama vile serikali haipo. Mkuu wa kaya anajali maslahi yake tu, akiilinda Dowans yake kwa nguvu zote, ikiwezekana hata kuuwa vita ya kujivua gamba ndani ya chama chake kwani, vita hiyo inahatarisha Dowans yake.
Kwa mantiki hiyo, sio CCM tu walioifikisha nchi mahali hapa bali hali kadhalika wanawake wamewezesha CCM na serikali yake kuipiga mnada nchi na watu wake kwa wageni. Angalia kinachotokea mahali popote penye madini wananchi hufurushwa kuwapisha matajiri waliouziwa nchi na watu wake.
Huko Nyamongo,watu wameuka ama kenge ama mamba kwa sumu za migodini zilizomwagwa mtoni. Serikali haijafanya lolote kwakuwa watu hao ni mali ya wawekezeji. Mwenye mali ana uhuru wa kuifanya mali yake apendavyo.