UWT yazindua kundi la Samia queens linalohusisha wasanii wanawake nchini

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mary Chatanda , kupitia Katibu Mkuu Ndugu. Jokate Mwegelo amezindua kundi la SAMIA QUEENS ambalo ni muunganiko wa Wasanii wote wa Kike wa Sanaa ya Muziki na Uigizaji.

Lengo la kundi hilo ni kuwa sehemu ya kuhamasisha Wasichana na Wanawake wote Nchi nzima katika kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika utendaji kazi wake.

"Tupo hapa kuzindua kundi SAMIA QUEENS ambalo linahusisha wasanii wanawake nchini ambao wapo kwenye sanaa ya muziki na uigizaji , niwaeleze tuu ndugu zangu imezoelekea wanawake kuoenekana kama hawapendani na hawewezi kueshimiana kwa nafasi zao lakini historia na dhana hiyo imefutwa mbali chuni ya Rais Samia."

"Tunashuhudia sasa wasanii wa kike wanaungana kwa mapenzi na heshima waliiyo nayo kwa Rais Samia."

"Muungano huu ni sehemu ya matokeo ya falsafa ya 4R ya Rais Samia katika Ustahimilivu kwamba pamoja na tofauti zetu tukaheshimiana na hawa wasanii wameacha mashindano yao ya kimziki na filamu na badala yake kuwa pamoja na kutunga wimbo wa kutoa hamasa kwa wanawake kuendelea kueshirikiana, kuwa wamoja na kupeana fursa lakini bila kusahau kumsemea mazuri Rais wetu"

Wasanii hao ni Pamoja na Lady Jaydee, Zuchu, Mwasiti, Monalisa, Roda, Shilole, Nandy na wengine wengi.

Ndugu. Jokate Mwegelo
Katibu Mkuu wa UWT - Taifa

📍Lumumba - DSM
🗓️ 7 Machi, 2024

IMG-20240307-WA1366.jpg
 
Lumumba - DSM
7 Machi, 2024

View attachment 2927559
Lengo la kundi hilo ni kuwa sehemu ya kuhamasisha Wasichana na Wanawake wote Nchi nzima katika kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika utendaji kazi wake.

#Friends of Samia
#Chawa wa mama
#Samia queens

Bado mengine yanakuja
#Samia for president 2025
#Watoto wa mama nknk
 
ChukuwaChakoMapema watavumbuwa CHAWA wa kila aina ili kula/kura ZIPATIKANE!
MAJAMBAZI KABISA HAWA...
 
Badala ya kuja na mikakati ya kumuinua mwanamke na watanzania kwenye suala la kilimo, uvuvi, ufugaji, elimu, biashara wao wanakuja na Mambo ya Uchawa na kujipendekeza pendekeza kwa Samia.

Hii inaonyesha kumbe Jokate naye ubunifu sifuri na pia hajui pressing issues ambazo mtanzania kwa sasa anahitaji!

Jokate katuangusha sama kwenye hili!
 
Tanzania na nchi nyingi za Afrika tuna ujinga mwingi.
Serikali zinazokuwa chini ya chama tawala ziko radhi kuchoma mamilioni ya pesa ili kuunga mkono ujinga utaozifanya ziendelee kubaki madarakani kuliko kuja na mikakati ya kusaidia raia kujikwamua.
 
Badala ya kuja na mikakati ya kumuinua mwanamke na watanzania kwenye suala la kilimo, uvuvi, ufugaji, elimu, biashara wao wanakuja na Mambo ya Uchawa na kujipendekeza pendekeza kwa Samia.

Hii inaonyesha kumbe Jokate naye ubunifu sifuri na pia hajui pressing issues ambazo mtanzania kwa sasa anahitaji!

Jokate katuangusha sama kwenye hili!
Sikutegemea jokate awe sehemu ya uchawa ..badala ya kujikita ktk kuinua mwanamke..kuwapa nafuu ya kausha damu huku uswahilini
 
Wanataka waifanye Tanzania kama kikundi cha VICOBA.

Hii nchi inahitaji ukombozi kutoka kwa hawa feminists.
 
Back
Top Bottom