Mshiiri
JF-Expert Member
- Jun 16, 2008
- 2,012
- 507
Thread inafit kwenye udaku na mambo yasio serious. Ushambenga.
Si kweli na hii kauli ni ya kukataa ukweli kama sisiemu inavyuoulizwa jambo, mapema hulikataa na baadae inashindikana linaonekana laivu, wanakubali. Kama hauna habari subiri uhabarishwe. Aaala!