wanawake na wasichana wa dar..

Wasagaji lazima waongezeke maana wanaume wamepungua, isitoshe gharama kwa hao wachache waliopo zimezidi kuwa kubwa.

  1. unaanza na drink na kuku --anataka kunywa wine , or savana or henkel almradi ya ghali . hapo minimm ni 40,000
  2. Unakodi room --- cheapest 30,000
  3. Unatia mzigo , mkimaliza unamtoa , minimum 20,000
  4. Teksi ya kurudi kwao 10,000


Hadi hapo laki kweisheni.

Baada ya siku mbili anakutext please recharge me .

Baada ya siku mbili anatuma invoice .... oh mama mgonjwa, oh nadaiwa etc etc ali mradi anataka minimum 50,000

Total for one stance ...............150,000.

Wiki nyingine anataka , inayofuata anataka nakadhalika nakadhalika. mwisho wa mwezi unakuwa umemfanyia yeye kazi. Sasa kwa nini watu wasisepe? Wapunguze gharama watachukuliwa tu kimpango.

duh muhesabu gharama na mapenzi hayajui... kwani wewe unapokubali kuingia gharama hizo huwa unadhani unalipia nini? huduma ghali ndugu na ukitaka bure ... kaa ukijua utalipa zaidi ya unavyofikiri bure ghali na starehe ni gharama...
kwani unadhani hao wasagaji hawaingii gharama? na hapa inaelekea umelenga kuwasakama wanawake kuwa ndio wanaotia gharama je wanaume nyie hamna gharama??? unaelewa japo kidogo mambo yanavyoendelea hapa mjini? hujue ck hizi wanaume wengi wamebaki suruali tu? hjui wanawake wengi wanaingia gharama tena kubwa kwa ajili ya starehe hizo? halafu henkel ni kampuni au ulikuwa unafananisha na jina la kile kinywaji maarufu kinachosambaswa na mabibo wines???
 
Si kweli na hii kauli ni ya kukataa ukweli kama sisiemu inavyuoulizwa jambo, mapema hulikataa na baadae inashindikana linaonekana laivu, wanakubali. Kama hauna habari subiri uhabarishwe. Aaala!

we utakua tundu lis...u
 
Back
Top Bottom