Wanawake mmezidi uwongo acheni hizi tabiaaaaaaaaaaaaaaa

Ujue awa wanawake wanaojifanya wajanja, siku zote uwa wanaangukia kwenye mikono ya matapeli wa mapenzi!
 
Hizo tabia hata sisi wanaume tunazo, ni mwanaume gani anayeweza kumtongoza msichana kisha aanze kutaja msururu wa wanawake aliowahi kuwavua chu.......pi?
 
Kwenye hli laushawah kuwa na wangapi,mi huwa sipend kulijibu km vle ncvyopenda kuuliza/kujibiwa.
manake km ntamuuliza He,itakuwa ngumu kunambia mimi ni wa 40.
nami hata kama nshawah kuwa na vjana zaid yakumi km ntajtahd sn ntasema yy wa 3!
huwa naona tunadanganyana!bora kutouliza ujiaminishe tu ww ndo chaguo kwa kpnd hko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom