Wanawake mmezidi uwongo acheni hizi tabiaaaaaaaaaaaaaaa

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Wanawake ni waongo sana. Kila mwanamke ambae nimekuwa nae utasikia anakwambia hivi.

1. Yani mimi mpaka namaliza chuo nilikuwa sijawahi kuwa na mwanaume
2. Mwingine yani mimi mpaka namaliza sekondari sijawahi kuwa na mwanaume
3. Mwingine utasikia yani mimi wewe ni mwanamme wangu wa pili nilikuwaga tu na boy friend tukaachana
4. Mwenye mtoto atakwambia mimi kwanza wala sikupenda kuzaa nae alinibaka

Kifupi - Usichimbe historia ya mke wako kwani utachanganyikiwa ndugu yangu.
Ila wanawake ni waongo sana kwani mimi kila shule niliyopita kuanzia primary, o level, a level na college wanawake walikuwa wanaliwa ila leo ukikutana nao watakudanganya.
 
Huuh!
My Gooosh!

Lakini wakiwaambia ukweli mtupu mtapenda?...Ukiambiwa kuwa "nilikuwa na wanaume 6 kabla yako" utasimamisha hiyo nanihiino?

Kubali yaishe kwamba nyie wenyewe mnapenda kudanganywa!
 
Mkuu unachosema kina ukweli, mie pia yameishanitokea sana hayo, kuna mwanamke mmoja aliniambia eti alikuwa na mwanaume mmoja tu, kwa sasa yupo Uingereza.

Baada ya wiki nikaja kuwafahamu mabwana zake watatu, nikapiga chini
 
Haya mi nakwambia ukweli. . .
Nilianza nikiwa std 5. . . mpaka sasa hivi nimeshiriki na watu 17. . .

HAPPY??
Malalamiko mengine bana.

Ukweli utakuweka huru! Mwanaume kama amekupenda hata ukimpa story gani atakuganda tu kuliko ukimficha halafu akagundua ndio hapo inaanza kasheshe!
 
Ukweli utakuweka huru! Mwanaume kama amekupenda hata ukimpa story gani atakuganda tu kuliko ukimficha halafu akagundua ndio hapo inaanza kasheshe!

Mi sioni tatizo kumwambia mtu ukweli au kuutaka wake. Sema tatizo wengine hua wanataka ukweli wakati hawawezi kuubeba. . . kama huuwezi ukweli potezea badala ya kumchora mtu alafu akishakwambia kijasho cha mikono kinakutoka huku ukikimbia wakati hujakimbizwa.
 
Haya mi nakwambia ukweli. . .
Nilianza nikiwa std 5. . . mpaka sasa hivi nimeshiriki na watu 17. . .

HAPPY??
Malalamiko mengine bana.

Kuwa mkweli lizzy umeshalabwa na wanaume wangapi na umeanza ukiwa class gani? stop jiking
 
Wanawake ni waongo sana. Kila mwanamke ambae nimekuwa nae utasikia anakwambia hivi.

1. Yani mimi mpaka namaliza chuo nilikuwa sijawahi kuwa na mwanaume
2. Mwingine yani mimi mpaka namaliza sekondari sijawahi kuwa na mwanaume
3. Mwingine utasikia yani mimi wewe ni mwanamme wangu wa pili nilikuwaga tu na boy friend tukaachana
4. Mwenye mtoto atakwambia mimi kwanza wala sikupenda kuzaa nae alinibaka

Kifupi - Usichimbe historia ya mke wako kwani utachanganyikiwa ndugu yangu.
Ila wanawake ni waongo sana kwani mimi kila shule niliyopita kuanzia primary, o level, a level na college wanawake walikuwa wanaliwa ila leo ukikutana nao watakudanganya.

mwanaume = mwanamme
nilikuwaga = nilikuwa
 
asnate na mie ndo nasema hicho hicho, mfano ni kweli akudanganye alikuwa nao marcopolo 3?
Ndo raha yenu wanammw tukisema tunao wengi?

Si wanawake wote wako extremist kwenye mahusiano

Wanasema ukweli tatizo akili zenu zinahisi zinadanganywa muda wote.
 
Yikes!!..kuna mtu mkweli siku hizi?? listi uangu kwa ufupi ni wanaume 20 ukijumlisha real relationships, sex partners, flirts na one nites!!huh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom