Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 4,796
- 3,729
ukweli mdada akijipara sana vipodozi anatisha unaweza ukahisi umekutana na changudoa wa casino. Mfano kwenye kope wanaweka make- up iliyofanana na gaun au blauz aliyovaa,wanja juu,lips anapaka lipshine akimechisha na soli ya kiatu au kiatu chenyewe,vikuku kibao miguun utafikiri muuza tigo,mikononi mibangili kibweeena kama 50 hv ya kila rangi,masikion matundu ma4 na yote kaninginiza heren kubwa ka mmasai,mapoooouuuda! kibao, tabu tupu.