Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

Wote mliokubaliana na hii maada uckute videmu vyenu

1. sura ka wanapuriza moto...sura zao ka nyuma ya sufuria linalopikiwa kwenye kuni....
2.miguu imepinda
3.umbo kama kabati
4.mata..ko flat

Na mkome kuleta upuuz wenu humu mkawaambie mademu zenu mitaan kwenu kwan mnvotuambia ss ili itusaidie nn coz mnavoongea hakuna kinachobadilika kwetu, mwanaume wangu anavonisifia inatosha.....kaz kuandika upuuz tu umu
 
Sio lazima lakini mnapoelezwa punguzeni Omo!

Mm najiremba sana tuu tena waga nahakikisha mdomo unakua mwekundu ka mku..nd wa nyani ebooo na siachi coz mpenz wangu ndio anapenda ivooo....na umalaya wangu yy ndio anajua npoje na sio wewe
 
Kujipodoa jipodoe sana tu, lakini ukitoka nyumbani hakikisha umemaliza hiyo kazi!! Tabia ya kutembea na vipodozi kama unaviuza haipendezi!!!!

Mnalalamika tu humu jf bureee si mkaweke matangazooo kama itv, chanel 5 nk...ili watu waone
 
Usiwe mjinga, anayekwambia ukweli anataka ujirekebishe!!! hajakutukana.

Ukwel mkawaambie wanawake zenu babuuu eee sie wanaume zetu wanapendaa tujipodoeee ....we unaona kama ukwel kwakoo bt ni ujin.ga kwetu na cjui n kwann inawauma sanaa tujipodoavyoo
 
Hahaaaa binam wametuandama hawa watuu awajui ka wanaume zetu hupenda tunavojipodoa na watuache miaka buku

Yani acha tu my cousin ni shida kila tunachofanya ni kosa jema kwao sijui ni nili hata nashindwa kuwaelewa kujipodoa siachi ng'o hata wapige matarumbeta
 
Yani acha tu my cousin ni shida kila tunachofanya ni kosa jema kwao sijui ni nili hata nashindwa kuwaelewa kujipodoa siachi ng'o hata wapige matarumbeta

Afu nlichogundua wanaume wanaoandika ujinga umu mda wote wanashinda jamii forum sijui kaz wanafanya saa ngapi?...nahis ndio wale wanaogeuzwa na wanaume wenzao
 
Wote mliokubaliana na hii maada uckute videmu vyenu

1. sura ka wanapuriza moto...sura zao ka nyuma ya sufuria linalopikiwa kwenye kuni....
2.miguu imepinda
3.umbo kama kabati
4.mata..ko flat

Na mkome kuleta upuuz wenu humu mkawaambie mademu zenu mitaan kwenu kwan mnvotuambia ss ili itusaidie nn coz mnavoongea hakuna kinachobadilika kwetu, mwanaume wangu anavonisifia inatosha.....kaz kuandika upuuz tu umu

Wanawake wote walioipinga hii mada ni kwa sababu zifuatazo:
1)Wamewahi kufanya kazi ya ukahaba kipindi cha nyuma.
2)Sasa hivi wanafanya kazi ya ukahaba.
3)Wana marafiki/ndugu zao wa karibu ambao wanafanya kazi ya ukahaba.
Mojawapo au zote ya sababu hizo hapo zimetokea.
 
Ukwel mkawaambie wanawake zenu babuuu eee sie wanaume zetu wanapendaa tujipodoeee ....we unaona kama ukwel kwakoo bt ni ujin.ga kwetu na cjui n kwann inawauma sanaa tujipodoavyoo

Labda wanataka na wao wajipodoe,,, ruhsa jamani na wewe ukitaka tembea na angel face yako kwenye suruali na sio kusema asema ovyo Kama kasuku.
 
Wanawake wote walioipinga hii mada ni kwa sababu zifuatazo:
1)Wamewahi kufanya kazi ya ukahaba kipindi cha nyuma.
2)Sasa hivi wanafanya kazi ya ukahaba.
3)Wana marafiki/ndugu zao wa karibu ambao wanafanya kazi ya ukahaba.
Mojawapo au zote ya sababu hizo hapo zimetokea.

Weee si ndio tulikutana pale tanki bovu kwenye ile hotel tena uctake nikutolee siri ulikua na mwanaume mwenzio bila hata haya mtoto wa kiume ukaenda geuzwa badili tabia weyeee......WANAUME WANAOGEUZWA UTAWAONA TUU KUWEKA MADA ZA KIJINGA
 
Hehehehehehe!!!!!!!!
message is sent and delivered!!!!
Jikaze, mkuki ni lazima ukite moyoni.
 
Wanawake wote walioipinga hii mada ni kwa sababu zifuatazo:
1)Wamewahi kufanya kazi ya ukahaba kipindi cha nyuma.
2)Sasa hivi wanafanya kazi ya ukahaba.
3)Wana marafiki/ndugu zao wa karibu ambao wanafanya kazi ya ukahaba.
Mojawapo au zote ya sababu hizo hapo zimetokea.

Haaaa we unazan aliyokwambia snowhite alikosea.....si buree na nyie watoto mliozaliwa wakat wa ukahaba wa waz......mna matatizo...heeeee afu mkuki kwa nguruwee kwa binadam mchung
 
Last edited by a moderator:
Afu nlichogundua wanaume wanaoandika ujinga umu mda wote wanashinda jamii forum sijui kaz wanafanya saa ngapi?...nahis ndio wale wanaogeuzwa na wanaume wenzao

Si ndo wanaume maemolo kupga tu umbea huku kupunguza machungu yao hawa maemolo ni janga hawajiamini ndo mana hawawezi kukaa na wanaume halisi zaidi ya kupenda misutano mwanaume busy na muelewa hawezi kuhangaika na mkewe kupaka foundation na make up yuko busy kutafta hela
 
Hehehehehehe!!!!!!!!
message is sent and delivered!!!!
Jikaze, mkuki ni lazima ukite moyoni.

Wajidanganya ndugu msg kawasendie familia yakooo sie twawapa ukwel tu kwa upu...z mnaoandika....wanaume kama mabint....hunip kun.y....weyeee kwaiyo hunitii presha yaheeeee kama demu wako ama sura ka ngedele sie mtuache tujipodoeee kwa rahaaa zetuuuuu
 
Wanaume wenzangu. Nadhani sasa ni muda muafaka wa kukubali mabadililko ya kimtazamo na itikadi. Sikufikiria kabisa kama na wewe ni miongoni mwa watu wenye fikra kwamba mwanamke anajipamba ili avutie wanaume!. Phyuuuuuuuu! Mawazo haya ni potofu na hayapaswi kuendekezwa. Ndiyo sababu unahangaika na hawa viumbe. Lakini mimi nikivaa suti na shati zuri kiatu safi tai na sox, nikaweka ndevu zangu vyema na nywele zikakaa sawa, ninataka kumvutia nani? Ni kweli kwamba nataka kuvutia wanawake wakati nimeoa?

Kwa nini usione tu kwamba hata mwanamke anayohaki ya kuweka vifaa anavyoona yeye anavipenda ili ajisikie swafi kwa utashi wake, bila kuhusisha dhana hiyo na uvutiaji wanaume? Ni kweli wanawake wote wanaojipodoa wanauhaba wa wanaume?

Mke wako siku akimua kuweka vitu na kutoka tayari anatafuta kufurahisha midume?

Hadi mtakapoacha kuwaona wanawake kama viumbe visivyokuwa na haki ya utashi, na kujiweka kama anavyotaka, ndipo mtaacha kutembea macho juu juu mkiwakagua eti wamevaa na kupaka nini. Why dont you mind you own businesses na kuafikiana na mke wako namna mnavyopenda kuonekana halafu mkaishia hapo badala ya kutaka kufanya mambo yenu ya familia ziwe sera za watu wote?

Kama wewe hujaoa, Mungu ameweka wanawake wengi wa kila aina kwa chaguo lako. Chagua unayeona anakupendeza na wala huna sababu ya kuwadiss wengine kwa sababu hawapo kwa ajili yako. Na wewe utashi wako si utashi wa dunia nzima kwamba wanawake wote wakufuate unachotaka.

Acheni mijadala ya kuonyesha ni namna gani hamjastaarabika katika suala la mahusiano ya jamii. Wanawake ni watu kamili na wanayohaki ya kuamua mwonekano wautakao kwa umoja ama ujumla wao. Huna haki ya kuanza kuwadictatia na kuwasema sema hapa as if wewe ni Naibu Mungu. Tafadhili jamaa yangu. Leta habar zingine tujadili. Hizi zinakudharirisha mbele ya jamii.

@AshaDii........ Siku ukisikia kuna Shajara za Ulimbwende, nakuomba uende ukaangalie jinsi Wanyange walivyojisiriba vipodozi na Lebasi mwili mzima, yaani utadhani ni waganga wa Maruhani...............
 
muanzisha uzi wa kike wa kiume? kwani tukijipamba inakuhusu nn? angalia usije ukavaa sketi muda sio mrefu. mambo yetu tuachie babu hayakuhusu. kama wa kwako golkeeper anakufilisi kwa make ups ongea naye chumban sio uje kubwata jf.
 
Back
Top Bottom