kwa hiyo mi nikivaa nguo fupi tu ni kahaba?
unadhani utastahili kuitwa nani? Kipipi mapaja nje?
%99.9 ndiyo.
Fumbeni macho.
Mavazi ni kielelezo tosha cha tabia za mtu.kama unajiheshim huwezi kuvaa nusu uchi unless ukahaba
Hata mimi huwa najiuliza kwanini wanavaa vile, siwatembee tu uchi.
Mwanamke ni mtu mzima,kwanini udhani kwamba una haki ya kumpangia cha kufanya au kuvaa,jamii ya Kiafrika ina penda sana kucontrol wanawake inaboa kiukweli.
haujaambiwa anapangiwa.km vp anunue vitu size yke au aachie sinema.
unauliza makofi polisiKwa hiyo mi nikivaa nguo fupi tu ni kahaba?
Hiyo ndio size yake kwake,wewe ni nani wa kumpa maelekezo kwamba size ni ipi?
kama ndio size yako,unahangaika kukivuta cha nini unapokaa?
na mwingine unamkuta mapaja meupeeeee peeeeee. mwingine giza tupu. halaf anakuonyesha hadi kichupi kimepanda kwa juubiashara matangazo, weka embe chumbani uuze kama hazitakuozea.
Na mbwa wako asipobweka, bweka mwenyewe. Kwa raha zao, mbona kombai tribe mijinyonyo nje na wala wanamme wao hawajali?
Ukahaba uko akilini.
akiinama midikodiko yote njeMitishamba hiyo ni geresha anataka uone kuwa hajapenda kuvaa hivyo (Kitop na Kimin). Sasa mwambie ainame kuchukua simu iliyodondoka chini utaona anavyohangaika.Biashara zingine hujiuza zenyewe ila zingine sharti uzitembeze.
unauliza makofi polisi
Basi usihangaike kupandisha ama kuficha, tujionee sinema ya x uliyoitengeneza mwenyewe, na hy ndo concern ya mitishambaLakini kama ukahaba si wangu,mtu mwingine inamuhusu nini?