Wanawake, hivi mnapotoka nyumbani huwa hamjijui kuwa mmevaa nguo fupi?

biashara matangazo, weka embe chumbani uuze kama hazitakuozea.

Na mbwa wako asipobweka, bweka mwenyewe. Kwa raha zao, mbona kombai tribe mijinyonyo nje na wala wanamme wao hawajali?

Ukahaba uko akilini.
 
wacha wavae sie ambao hatuonagi hivyo vitu tupate kuona bana...pendezesha sana dunia
 
unadhani utastahili kuitwa nani? Kipipi mapaja nje?

Hayo ni mawazo yenu tu, na kwakuwa wengi wenu huwa mnayapelekea mawazo yenu kwenye ngono, ndo maana mnakuwa offside!! Hivi mnajua style asili ya mwafrika katika kuvaa? Waweza chukua mfano wa filamu za kinigeria zile za kiasili au hata ile ya kina bushmen tu.......upaja nje, kitovu nje tena saa zingine hadi kwa wale mabinti unakuta vititi vipo nje kabisa!! Sasa kwangu mimi ukahaba utoke wapi??
 
Mwanamke ni mtu mzima,kwanini udhani kwamba una haki ya kumpangia cha kufanya au kuvaa,jamii ya Kiafrika ina penda sana kucontrol wanawake inaboa kiukweli.

haujaambiwa anapangiwa.km vp anunue vitu size yke au aachie sinema.
 
biashara matangazo, weka embe chumbani uuze kama hazitakuozea.

Na mbwa wako asipobweka, bweka mwenyewe. Kwa raha zao, mbona kombai tribe mijinyonyo nje na wala wanamme wao hawajali?

Ukahaba uko akilini.
na mwingine unamkuta mapaja meupeeeee peeeeee. mwingine giza tupu. halaf anakuonyesha hadi kichupi kimepanda kwa juu
 
Mitishamba hiyo ni geresha anataka uone kuwa hajapenda kuvaa hivyo (Kitop na Kimin). Sasa mwambie ainame kuchukua simu iliyodondoka chini utaona anavyohangaika.Biashara zingine hujiuza zenyewe ila zingine sharti uzitembeze.
akiinama midikodiko yote nje
 
hata mimi uwa nakereka sana , mtu kama umeamua kuwa uchi kaa hivyo hvyo yani unakuta mtu anahangaika kushusha sket na kupandisha top, kama umeamua kuvaa acha hvyo hvyo.
 
Back
Top Bottom