Wanawake hebu kuweni makini na ikulu zenu kama kukiwa na harufu inakata mzuka wote

Huyu yupo kama dada mmoja anaitwa happy g, yaani sijawahi ona mnyakyusa ananuka vile. Air freshener iliisha yote.

Mkiwacha mnaogeza tatizo wapelekeni hospital na muwaambie wanaumwa sio normal mkiwaacha mnazidisha tatizo
 
Peace be with you all,

Week hii niko Dodoma kwa masuala fulani. Jana jioni baada ya mizunguko wakati narudi hotel (Morena hotel) kabla sijafika round about kutokea Mipango nikamuona kimwa asee kimwana haswaa.

Demu ni mkali hatari sikua na mzuka na wanawake kutokana na deal fulani kwenda ovyo ila nilipomuona moyo uka paaaah. Nikaminya break laini kwa mbele akaja mpaka usawa wa dirisha salamu kisha nikamualika nimsogeze baada ya kusema anaelekea CBE nikamwambia na mimi naelekea huko (uongo mtupu sikua na safari ya CBE)

Kimwana akatinga ile kukaa mtoto paja laini alafu limejaa jaa aise ninauhakika huyu binti anatongoza wastani wa mara 10 kwa siku.

Yote kwa yote tukiwa tukasonga mazungumzo yakawa:
  • Kwanini unatembea unauchosha mwili wakati kuna boda boda wengi.
  • Sina hela ya boda boda kila siku labda kama umeona nateseka nipe basi hela ya boda boda ya week nzima.
  • Vipi nikikupa lifti week nzima
  • Weeeeh eeh kila siku unipe lift mwisho wake utaniomba. (Wote tukacheka)
  • Wee ni mrembo sana hata leo lazima nikuombe
  • Wanaume mnatamaa sana.
Mazungumzo yakaenda kulia kushoto utani na vicheko tulipofika CBE nikamwambia twende tukale pia nimependa kumjua kwa undani nikazungumze nae kwa utulivu akakubali kishingo upande hivyo tukapitiliza CBE hao mpaka Morena Hotel.

Kashuka mtoto nimeingia nae restaurant kaagiza mimi namkodolea mimacho moyoni najisemea "wewe leo lazina uuchezee" tukala pale nikachomekea
- Je leo hatujuani kwa kina na mapana. (Akacheka)
- Nyie wanaume (nikajua imeisha hiyo)

Nikamshika mkono akasimama haooo tukazama ndani. Mtoto yuko -vyumba vya hapa vizuri nikamjibu vizuri ila uzuri wako umekamilisha amani yangu. Bila kuchelewa romance taratiiibu.

Kimwana nikamvua kasketi then chupi aise aise harufu kali. Nilipata huzuni ghafla mwanamke mzuri vile ila ananuka uchi.

Nikajikaza nimcharaze hivyo hivyo ila nikashindwa nikachomoa mpurutungu nikaingia bafuni nilivyoka akaniuliza vipi nikamwambia nimepatwa na tumbo la kuharisha. (Sikutaka kumwambia kua shida ni yeye ananuka, bila shaka angejisikia vibaya sana)

Nikampa 60K nikimtania kua sitampa lifti tena kwa kua naumwa kwa hyo achukue hiyo ni ya boda boda nikamsindikiza mpaka nje akaita boda akaondoka.

Niliporudi chumba bado kina harufu kali nikapiga simu reception wanibadilishie chumba kwakua maji yana pressure ndogo bafuni (uongo) wala hawakuja kukagua akatumwa kijana kuja kuhamisha mizigo yangu kwenda chumba kingine.

Hitimisho, wanawake hebu kuweni makini na ikulu zenu kama kukiwa na harufu inakata mzuka wote wa kunyandua na nijuavyo wanaume hua hatuwezi kuwaambia live kua unanuka utashangaa mwanaume kakuacha tu.

Ilikuchukua dakika ngapi tangu umemuona hadi kukutana nae!?
Ungemwambia mwenyewe huku ulikoleta hawezi kukusikia
 
Ilikuchukua dakika ngapi tangu umemuona hadi kukutana na Haruni!?
Ungemwambia mwenyewe huku ulikoleta hawezi kukusikia
Hivi Haruni ni nani hapo?
🤣🤣🤣🤣🤣watu mmepinda sana
 
Demi usinicheke kuacha uzinzi kazi sana.
Unapodhamiria kuacha ndio kwanza watoto wazuri wanakulegezea macho...unaanza kukemea shindwa🤣🤣🤣
 
We jiombee tu mwenyewe kwa kweli...
Kila mtu apambanie dhambi zake😅
Ongezea nguvu ndugu yangu.
Unajua wewe mutu muhimu kwangu.

Nimejikaza ssna nakujiombea hiki kikombe kisijirudie plz maombi yako muhimu😅😅😅
 
Demi usinicheke kuacha uzinzi kazi sana.
Unapodhamiria kuacha ndio kwanza watoto wazuri wanakulegezea macho...unaanza kukemea shindwa🤣🤣🤣
Naanzaje kukucheka? Ni jambo zuri unapaswa kupongezwa umefanya maamuzi sahihi. Hallelujah!
 
Ongezea nguvu ndugu yangu.
Unajua wewe mutu muhimu kwangu.

Nimejikaza ssna nakujiombea hiki kikombe kisijirudie plz maombi yako muhimu😅😅😅
Kumbe ulikuwaga mzinzi? Hata hufananii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom