Wanawake hebu kuweni makini na ikulu zenu kama kukiwa na harufu inakata mzuka wote

kama ni mipango nimesha mjua huyo binti ni mrefu ana tako maeneo ya masofa ndo umemchukulia
Mkuu ni kweli ni mrefu mweupe na tako ila sikumchukua maeneo ya masofa. Ila tuzungumzie hali ile ya harufu, nini chanzo cha kua na harufu kali vile ?
 
Mosi, wanakuwa na changamoto za kiafya ama kwa kujua (% kubwa wanajua) au kutojua...

Pili, kuna baadhi ya wanawake jinsi wanavyokaribia hedhi, sehemu za siri huanza 'kuchemsha'...

Ila kuna watu mna ujasiri, yaani unakutana na mchuchu usiyejuana naye kabisa na unaenda kuchapana naye time hiyo hiyo...na hata katika stori yako sijaona mahali mlianza hata kwa kuosha miili yenu
 
Wewe na yeye wote mna mna matatizo.
Yaani muokotane mpo kwenye mashughuli yenu mmetoka jasho mnafika room hamkumbuki hata kujimwagia maji?
Huyo sio mwanafunzi wa CBE kakuzuga tu umuone matawi. Ni malaya anayejiuza barabarani
 
Tatizo sio ikulu tatizo hawaogi hao ukute hapo kuna mtu alitoka kuchomoa nawe ukakurupuka kuchomeka bila hata kumuambia akaoge. Hivyo vidada vipo kazini vinajali kula vichwa tu na sio kujisafisha. Unakuta wengine wanaweka nyanya vitunguu na mazagazaga kibao ili mbususu iwe mnato matokeo yake harufu za ajabu ajabu
Kwa maelezo yake hajampa hata nafasi ya kuoga na hajui ametembea mchana kutwa kiasi gani.
Jamaa analaumu bure kwanini asingemwalika bafuni waoge kwanza?.

Mchafu ni mleta uzi...kuoga ni muhimu mno
 
Mkuu ni kweli ni mrefu mweupe na tako ila sikumchukua maeneo ya masofa. Ila tuzungumzie hali ile ya harufu, nini chanzo cha kua na harufu kali vile ?
Ni gono plus syphilis sijui nini na makorokocho yote yani. Nenda hospitali unapoteza muda kusogoa hapa
 
Kwa maelezo yake hajampa hata nafasi ya kuoga na hajui ametembea mchana kutwa kiasi gani.
Jamaa analaumu bure kwanini asingemwalika bafuni waoge kwanza?.

Mchafu ni mleta uzi...kuoga ni muhimu mno
Yaani nimeshangaa sana .
Halafu ni mtu ambae humjui hamna miadi ya kufanyana hiyo siku.
 
Yaani nimeshangaa sana .
Halafu ni mtu ambae humjui hamna miadi ya kufanyana hiyo siku.
Pupa za kijinga kabisa.
Wanaume tunapungua sana.

Hii tit for tat ni ulimbukeni flani.

Huyo mtoto alishaitika, siku hiyo wangeongea na kula pamoja then wanapanga siku ya kufanya uharibifu angempa mtoto kujiandaa kimwili na kisaikolojia na sio huu ubakaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom