wanaume

mbona wanaume wanafanya ngono nje ya ndoa.

Wanawake hawafanyi hivyo? Mbona una kuwa one sided kwenye swala ambalo lina julikana wazi jinsia zote zina fanya. Kufanya ngono nje ya ndoa ni tabia za mtu iwe mwanaume au mwanamke.
 
Wakati wanafanya ngono wewe unakuwa ukifanywa nini??

Kweli kuku ni kuku tu... Post nne ushaachia ushuzi??

UMEFULIA MAZEE

Dad,

unahukumu watu kwa namba zao za post, bila kuwa na post 4 ungefikisha post 948?

Halafu, toka lini kuku akaachia ushuzi?
 
Ni mtu na mtu, but most of them ni wanaume, na hii inasababishwa na necha ya maumbile kati ya mwanamke na mwanaume; mwanaume ameumbwa katika mazingira ya kutaka kufanya ngono mara kwa mara tofauti na mwanamke.
 
mbona wanaume wanafanya ngono nje ya ndoa.

Kwani anakuwa amebaka au kunakuwa na makubaliano baina ya huyo mfanya na mfanywa? kama jibu ni ndio basi mfanywa ndo mbaya kwa nini amkubali mume wa mtu??? au huwa wanabaka? Si ana chojoa mavazi yake mwenyewe na kuachia neema ya mungu kwa huyo mwanaume?
 
Wakati wanafanya ngono wewe unakuwa ukifanywa nini??

Kweli kuku ni kuku tu... Post nne ushaachia ushuzi??

UMEFULIA MAZEE

SIO KOSA LAKE JAMANI MSAMEHENI TU!
icon9.gif
icon8.gif
 
mhn! hili sijui ila tuache uzinzi na uroho wa miili ya watu ala!
 
Wakati wanafanya ngono wewe unakuwa ukifanywa nini??

Kweli kuku ni kuku tu... Post nne ushaachia ushuzi??

UMEFULIA MAZEE
hahahhahahahha MTN you are tooo rude!
Shanon mie nandhani kama nimekuelewa vizuri swali lako ni kwamba kwanini percentage ya wanaume wanaofanya ngono nje ya ndoa ni kubwa kuliko wanawake? au nimekosea?
usivunjike moyo kwasababu ya vijembe vya humu jamvini
 
Nafikiri swali lake ni kama hivyo alivyoelezea Agika. Na ni kweli wanaumme wanatoka nje ya ndoa zaidi ya wanawake. Yaani kutoka nje ya ndoa imekuwa kama part ya ndoa. Mtu anakuwa na mchumba huku bado ana kimada, mpaka anaowa , anaendeleza tuu
 
Yote haya yanatokea kwa sababu ya mfumo dume. Wanaume wengi wanaona ni jambo la kawaida, na pengine la kujisifia badala ya kuona kwamba wanakosea.
 
Hakuna anyeweza kusema kwa uhakika nani zaidi kati ya wanaume na wanawake katika kungonoka nje ya unyumba. Ila, jambo moja ni dhahiri, sisi ni wanyama, we cant deny that, and that is the reason, hakuna cha tabia wala nini!

We are animals with utashi, so we are expected to use it to fit into human community.
 
mume kufanyana nje ya ndoa sana huchangiwa na mabinti wenyewe kwa sababu mabinti wengi wakati huu hutaka wa2 ambao majukumu wanayaweza na ukionyesha kuwa mke wako unamlisha na kumvisha vizuri,sio siri watajileta wenyewe tu wa kula utachagua mwenyewe.
 
Hii kali Mkuu!
Ina maana ukifuatwa na mabinti huwezi kusema hapana?
Ina maana akina dada/wanawake wanapofuatwa basi wasiseme hapana?
Nilikuwa nadhani wanaume wanaogopa wanawake wanaowafuata, kumbe siyo hivyo!
MAKUBWA DUNIA IMEBADILIKA SANA!
 
Mimi siamini haya madai ya kwamba wanaume wanatoka nje ya ndoa kuliko wanawake. Hatujaachana mbali hata kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom