wanaume

mbona wanaume wanafanya ngono nje ya ndoa.

Kwa sababu kuna wanawake wanaofanya nao hiyo ngono tena ni wake za watu! Wasingekuwepo hao, basi wanaume wasingekuwa wanafanya ngono nje ya ndoa...

Nahisi hivyo.
 
Mimi siamini haya madai ya kwamba wanaume wanatoka nje ya ndoa kuliko wanawake. Hatujaachana mbali hata kidogo.


Ni kweli wote wawili wanatoka ila kuna sababu kuumbili.

Kuna kitu kimepungua ndani ya nyumba hakuna mapenzi kama ya mwanzo

Au ni hulka ya mtu amezoea kutoka nje tangu mwanzo, kwa hiyo hawezi kuacha, unajua tabia haina dawa.
 
Nafikiri swali lake ni kama hivyo alivyoelezea Agika. Na ni kweli wanaumme wanatoka nje ya ndoa zaidi ya wanawake. Yaani kutoka nje ya ndoa imekuwa kama part ya ndoa. Mtu anakuwa na mchumba huku bado ana kimada, mpaka anaowa , anaendeleza tuu


Kwani huko njee anafanya na bikira au na mke wa mtu pia ua na vigori au na wanawake wenye wapenzi ambao pia wanasaliti mahusiano yao na wapenzi wao.

Mi naona hakuna % kubwa kuwa kwa wanaume kwa sababu zinalingana.
 
Hii kali Mkuu!
Ina maana ukifuatwa na mabinti huwezi kusema hapana?
Ina maana akina dada/wanawake wanapofuatwa basi wasiseme hapana?
Nilikuwa nadhani wanaume wanaogopa wanawake wanaowafuata, kumbe siyo hivyo!
MAKUBWA DUNIA IMEBADILIKA SANA!

Hata vitabu vya mungu vimesema kuwa ninyi ni mapambo yetu au umesahau mafundisho ya kanisani?
 
haha.muelimishe mkuu.wake ni mapambo yetu na unapoletewa pambo unalikimbiaaa ama unajivika inavyostahili?kwangu mimi wadada wakinifuata nakubali chapchap kwa sababu nao wakati mwingine hunizungushaaaa mpaka apetait inaisha.
 
madogo ila mazitoooooooooooooooooooooooooo
kwa mtaji huuuuu virusiiiii haviiiiishi ng'ooooooooooooooooooooooo
 
haha.muelimishe mkuu.wake ni mapambo yetu na unapoletewa pambo unalikimbiaaa ama unajivika inavyostahili?kwangu mimi wadada wakinifuata nakubali chapchap kwa sababu nao wakati mwingine hunizungushaaaa mpaka apetait inaisha.
madogo ila mazitoooooooooooooooooooooooooo
kwa mtaji huuuuu virusiiiii haviiiiishi ng'ooooooooooooooooooooooo
progress.gif
 
Yote haya yanatokea kwa sababu ya mfumo dume. Wanaume wengi wanaona ni jambo la kawaida, na pengine la kujisifia badala ya kuona kwamba wanakosea.
ukweli ndio huo babu yaooooo! tena nimeshuhudiaaaa kwa mathikio yangu menyeweee
 
hivi babu yao mchocho mzuri kama womenofsubstance akikatia anga zako mida ya injury hutamtupia hata haloooo?ama kweli paka mzee wa siku hizi akiona sahani ya maziwa anapita na kando.kekekekeke!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom