Wanaume wenzangu wa jf ambao wana umri wa 30+nina waonea wivu......

Samvurah

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
471
427
Asilimia kubwa ya wanawake wanaotafuta wenza hapa jf,wanataka mwanaume wenye 30+ ...kwa maana hiyo wanaume wenye umri huo ndo wanaofaidi hiyo nafasi@ kwa muda huu ngoja twenties tuendelee kusubiri haina haraka,.
 
aaaaahaa! we si unaogopa huo msimamo wa 30+ only wanted?...mimi nawabadilishaga mawazo tuu mwisho wa siku napata ninachotaka baaasiiii
 
yaani wenzio tunataka kurudisha miaka nyuma maana maisha bado hakieleweki na 30s ndio hio we unaitaka hio 30s sababu ya papuch tu kweli brother unaniangusha
 
yaani wenzio tunataka kurudisha miaka nyuma maana maisha bado hakieleweki na 30s ndio hio we unaitaka hio 30s sababu ya papuch tu kweli brother unaniangusha
sikuangushi kiongozi tuko pamoja
 
Usikae chini ukanyoosha miguu kusubiri. Tafuta vijana wenzio, jiunge na kwaya ama community club yoyote. Move it!

Jamii zinazoendekeza sana chini ni wazi zinapuuza juu.

Kijsna in his twenties anatakiwa kuwa na challenges nyingi tu, career, academics, personal developments etc.

Lakini tunachosikia hapa JF utafikiri wanaoandika ni sungura wanaojua kula, kulala na kudinyana tu.
 
Back
Top Bottom