Wanaume wenzangu tupunguze Chips-Viazi, tutafedheheka !

Wanaume wa mbeya tunakula vizuri sana, kitimoto, ndizi na maparachichi, unachagua bonzo lako moja na ndizi za kuchoma tatu na parachichi
Mbeya ni vidume tunatoka, mi nilikula matakapela na ndizi choma miaka ya 80 mpk leo mechi jamaa wanaomba pooh.
Uzuri naendeleza ni kula ndizi mzuzu na supu kongoro tu.
 
Habarini wanaJF,

Kama habari inavyoeleza. Ningependa kujua kama chips ni chakula sahihi kwa mwanaume. Nimeuliza hili kwakuwa uwa napenda Kula pale usalama makumbusho na sehemu kama katalunya, kibaoni tegeta but nawaona wanaume wenzangu tena vijana about 25- 41 wakiagiza chips mayai, kuku, mishikaki n. K. Kwa upande wangu nawahurumia hawa vijana na kujiuliza kwanni huyu kijana asile ugali nyama, ugali samaki, ugali mboga mboga kama bamia mchicha na kadhalika.

Au ndiyo kubana matumizi.
Naombeni kueleweshwa kama chips ni chakula sahihi kwetu sisi vijana
Nawasilusha.

Ahsante
 
Mbona hii habari ya chips, chips mayai, mara sijui wanaume wa Dar es Salaam siku hizi imeshika kazi sana? Kulikoni?
 
kwan chips c viaz tu vya kukaanga... kuna tofaut gan kat ya chips na ndiz za kukaanga? manake vyote ni wanga vinatofautiana kiwango tu cha wanga!! mi naoana sawa tu.... ila isiwe kila siku
 
Ni chakula sahihi tu kwa mtu yeyote.

Unapokula zinaingia mwilini huvunjwavunjwa hatua kwa hatua during respiration,na hatimaye kuzalisha energy in form of ATP kama cabohydrate nyingine.

Tatizo liko wapi?.
 
Habarini wanaJF,

Kama habari inavyoeleza. Ningependa kujua kama chips ni chakula sahihi kwa mwanaume. Nimeuliza hili kwakuwa uwa napenda Kula pale usalama makumbusho na sehemu kama katalunya, kibaoni tegeta but nawaona wanaume wenzangu tena vijana about 25- 41 wakiagiza chips mayai, kuku, mishikaki n. K. Kwa upande wangu nawahurumia hawa vijana na kujiuliza kwanni huyu kijana asile ugali nyama, ugali samaki, ugali mboga mboga kama bamia mchicha na kadhalika.

Au ndiyo kubana matumizi.
Naombeni kueleweshwa kama chips ni chakula sahihi kwetu sisi vijana
Nawasilusha.

Ahsante
Kwahiyo tusipokula vyakula hivo vya kwenye RED tunakuwa si wanaume ???
 
Habarini wanaJF,

Kama habari inavyoeleza. Ningependa kujua kama chips ni chakula sahihi kwa mwanaume. Nimeuliza hili kwakuwa uwa napenda Kula pale usalama makumbusho na sehemu kama katalunya, kibaoni tegeta but nawaona wanaume wenzangu tena vijana about 25- 41 wakiagiza chips mayai, kuku, mishikaki n. K. Kwa upande wangu nawahurumia hawa vijana na kujiuliza kwanni huyu kijana asile ugali nyama, ugali samaki, ugali mboga mboga kama bamia mchicha na kadhalika.

Au ndiyo kubana matumizi.
Naombeni kueleweshwa kama chips ni chakula sahihi kwetu sisi vijana
Nawasilusha.

Ahsante
Eleza worries zako kwa swali hilo
 
Mwanamume timamu hawezi kula chips hata kidogo.Ukiacha madhara ya kiafya, chips ni chakula cha mademu au mashoga. Hakuna cha dharura, chips inaondoa nguvu za kiume, mwanamume unakula chips tena kwa tooth pick inasikitisha sanaaaaaa, nyie mnaoponda mada ndio walaji wakubwa wa chips. Mnakera sana.
 
Ila wanaume wa Dar mmevunja rekodi. Nasikia mmeandaa tamasha la kula chipsi mayai.
 
Mwanamume timamu hawezi kula chips hata kidogo!!!!! Ukiacha madhara ya kiafya, chips ni chakula cha mademu au mashoga. Hakuna cha dharura, chips inaondoa nguvu za kiume, mwanamume unakula chips tena kwa tooth pick inasikitisha sanaaaaaa, nyie mnaoponda mada ndio walaji wakubwa wa chips. Mnakera sana.!!!!
halafu bado dokta mwaka akiwa billione wanammind
hiyo mivyakula inaongeza chorestal mwillini ndo maana watotot wadogoo wanakua na mavitambi hayo na magonjwa ya moyo hayaishi..mbaya zaidi unakuta chipsi zimepikwa na mafuta ya transoma
mi ndo maana naonaga bora kama nmeishiwa nkale ugali maharage na mchicha kidogo kwa ma ntilie kuliko show game za chipsi yai
 
Niliwahi kaingiza kuku chips kama chakula cha mchana nikiwa nimekaa meza classmate wangu wa kike akanishangaa,nilipomuliza kulikoni akanijibu kua si chakula mwafaka kwa mwanaume sasa sijui kama yale mambo yetu ya 6x6 wanahusika au vipi,ila kama jibu litakua hayo mambo wanahusika basi nakubaliana naye kua chips ziliwe na me lkn kwa tahadhari.
 
Back
Top Bottom