Wanaume wenzangu tupunguze Chips-Viazi, tutafedheheka !

Hivi mayai yenye kuleta afya ni yale yenye shahawa za jogoo sio?
Otait, sasa naelewa......Kabakabana hebu tumisha mayai yenye protein ya jogoo, ntakuja kuyatafuna, nipo segerea nasogea rchuga kwa shemeji zangu!

Haswaaaaa !
Bigirita hayo ndiyo Mayai !
Mavirutubisho
 
Mkubwa ! Piga mswaki wa macho! Tembea uyaone ya dunia ndiyo uongee !
Mie zamani nilikua na Slogany kama yako, iko siku niko miji ya watu usiku natokea Restaurent kula narudi Hotel , nikavamiwa na vijana wa3 wakiniamuru nitoe simu na kila kilichokua mfukoni.
Muheshimiwa hukuwepo ! Shughuli pevu iliyojiri hapo.
Katika tukio hilo kilichoniokoa ni u'fit wa mwili na umahiri wa technic ya kupigana.
Hakuna nilichopoteza pale, ningekua narenare-urojo ?
Kama utakavyo wewe ?
Kilicholengwa hapa ni kama mwanaume unapaswa uwe physical wakati wote !
Hizo pesa uzisemazo , hutokea watu wakaja kuzivamia wakazitaka kama zao utajiteteaje ? Na wengine wanaweza kukupora chako waka'kumega na saburi !
Utafanyaje na wewe hujiwezi ?

Teh teh teh inaonekana unapenda sana "ndundi". Anyway nakoz za ukweli zinahusika. Na kwa asili hiyo ni second nature kwa mwanaume yeyote kujua kuzitupia nakoz mahala pake.
 
Hivi mayai yenye kuleta afya ni yale yenye shahawa za jogoo sio?
Otait, sasa naelewa......Kabakabana hebu tumisha mayai yenye protein ya jogoo, ntakuja kuyatafuna, nipo segerea nasogea rchuga kwa shemeji zangu!

haiyaaa.....aisee....
 
Teh teh teh inaonekana unapenda sana "ndundi". Anyway nakoz za ukweli zinahusika. Na kwa asili hiyo ni second nature kwa mwanaume yeyote kujua kuzitupia nakoz mahala pake.

Sasa kumbe ! Sometimes mkuu mapurukshani town hutokea unexpected ! Uko zako mtaani unavinjari na mama ya Boma, anatokea msela anam'bamba mama ya Boma bambataa (makalio) unamkaripia anakutukana
niambie !
 
Muuza Sura
kumbe mada inakuhusu kwa sana...vip hali ya mwili wako?

Noma mzee!!!siyo kivile ila nimenenepa japo sichukizi kimuonekano si unajua kipande ndo mauzo mazima na mwili ukiijulia pamba gani utupie basi mia mia!!!
 
Mkubwa ! Piga mswaki wa macho! Tembea uyaone ya dunia ndiyo uongee !
Mie zamani nilikua na Slogany kama yako, iko siku niko miji ya watu usiku natokea Restaurent kula narudi Hotel , nikavamiwa na vijana wa3 wakiniamuru nitoe simu na kila kilichokua mfukoni.
Muheshimiwa hukuwepo ! Shughuli pevu iliyojiri hapo.
Katika tukio hilo kilichoniokoa ni u'fit wa mwili na umahiri wa technic ya kupigana.
Hakuna nilichopoteza pale, ningekua narenare-urojo ?
Kama utakavyo wewe ?
Kilicholengwa hapa ni kama mwanaume unapaswa uwe physical wakati wote !
Hizo pesa uzisemazo , hutokea watu wakaja kuzivamia wakazitaka kama zao utajiteteaje ? Na wengine wanaweza kukupora chako waka'kumega na saburi !
Utafanyaje na wewe hujiwezi ?

Asante Jg, messeg sent and delivered.
 
Sasa kumbe ! Sometimes mkuu mapurukshani town hutokea unexpected ! Uko zako mtaani unavinjari na mama ya Boma, anatokea msela anam'bamba mama ya Boma bambataa (makalio) unamkaripia anakutukana
niambie !

Hapo ni nakoz na mitama tu ndo itakayoongea
 
Mbio ndo mpango mzima!!!!bruce lee mwenyewe master wake alimuambia ukiona umezidiwa au mtiti hauwezi basi toka nduki nene!!!ngumi za uswahilini timing hamna cha ufit wala nini!!!....kinondoni shamba kuna bingwa anaitwa chura masamaki siyo mtu wa tizi ila kashawakalisha watu kibao waliokuwa fit kimazoezi!
 
@arusha, mama mgoni, baba mchaga alisema hapa, watu wakamshambulia weeee, kumbe alikuwa na pointi???

Hongera bi dada, japo tulikunanga haswa!
 
Noma mzee!!!siyo kivile ila nimenenepa japo sichukizi kimuonekano si unajua kipande ndo mauzo mazima na mwili ukiijulia pamba gani utupie basi mia mia!!!

kama nakuona...umeuza CV ila hupati dada hapa...LOL
 
Hivi mayai yenye kuleta afya ni yale yenye shahawa za jogoo sio?
Otait, sasa naelewa......Kabakabana hebu tumisha mayai yenye protein ya jogoo, ntakuja kuyatafuna, nipo segerea nasogea rchuga kwa shemeji zangu!

khaaaa!!umenipoteza kabisaa
 
Kwani Chipsi si wanga kama ilivyokuwa vyakula vingine vya wanga km Wali,Ugali,Chapati n.k labda navyo uwache kutumia.
 
Back
Top Bottom