Fanyeni mazoezi wanaume wenzangu, acheni kula chips

itoko jr

JF-Expert Member
Feb 26, 2023
1,126
2,514
Habarini wanaJF wenzangu, I hope mko gud that's fine.

Oh yeah! Fanyeni mazoezi wanaume wenzangu bana acheni kula chips, kunywa bia sana zinawafanya mnakuwa mabonge minyama uzembe dah it's so sad mwanaume unakua na buttock (mat**ko) makubwa kumzidi mke shem on you kitambi kikubwa dah!

Fanyeni mazoezi muwe na body ya kueleweka ndio maana ata mnashindwa kuwaridhisha wake zenu kwa kukosa pumzi (pull) kidogo ya kuendesha mashine yako mwisho wa siku tunawachapia kwa sababu ya uzembe wenu wa kutokufanya mazoezi na diet mbovu inayowapelekea kuwa na body kubwa.

Lasivyo tutawachapia sana wake zenu mpaka mtakapo badilika.

Naomba kuwasilisha asantee.
 
Wewe ungejikita kwenye kushauri watu wafanye mazoezi, hizo hoja za kuacha kula chipsi..mara utawachapia wake zao umeharibu mada yako.

Afterall tafiti za kisasa zinaonyesha mafuta ni muhimu zaidi mwilini na yanahitajika kwa wingi..vyakula vya wanga kama wali,ugali,mihogo n.k hii ndio inayosababisha unene wa kupindukia.

Lakini cha mwisho kabisa lazima utambue kuwa BODY SIZE ni CONTINOUS VARIATION, yaani kwa lugha rahisi ni kwamba saizi ya mwili inarithiwa kutoka kwa wazazi, so kuna watu ni wanene tu hata kama wangefanyaje ni wapo hivyo..na wengine ni wembamba tu hta kama wangekula nini hawanenepi na kuwa ba nyama zembe.
 
Wewe ungejikita kwenye kushauri watu wafanye mazoezi..hizo hoja za kuacha kula chipsi..mara utawachapia wake zao umeharibu mada yako..

Afterall tafiti za kisasa zinaonyesha mafuta ni muhimu zaidi mwilini na yanahitajika kwa wingi..vyakula vya wanga kama wali,ugali,mihogo n.k hii ndio inayosababisha unene wa kupindukia..

Lakini cha mwisho kabisa lazima utambue kuwa BODY SIZE ni CONTINOUS VARIATION..yaani kwa lugha rahisi ni kwamba saizi ya mwili inarithiwa kutoka kwa wazazi..so kuna watu ni wanene tu hata kama wangefanyaje ni wapo hivyo..na wengine ni wembamba tu hta kama wangekula nini hawanenepi na kuwa ba nyama zembe
I gat u
 
Habarini wanajf wenzangu I hope mko gud that's fine...
Oh yeah!!!
fanyeni mazoezi wanaume wenzangu bana acheni kula chips, kunywa bia sana zinawafanya mnakuwa mabonge minyama uzembe dah it's so sad mwanaume unakua na buttock (mat**ko) makubwa kumzidi mke shem on you kitambi kikubwa dah!!

Fanyeni mazoezi muwe na body ya kueleweka ndio maana ata mnashindwa kuwaridhisha wake zenu kwa kukosa pumzi (pull) kidogo ya kuendesha mashine yako mwisho wa siku tunawachapia kwa sababu ya uzembe wenu wa kutokufanya mazoezi na diet mbovu inayowapelekea kuwa na body kubwa.

Lasivyo tutawachapia sana wake zenu mpaka mtakapo badilika.

Naomba kuwasilisha asantee.
Si mlisema na mkakubaliana kuwa sie wafanya mazoezi ni hatusimamishi na si ridhiki vipi tena.
 
Wewe ungejikita kwenye kushauri watu wafanye mazoezi..hizo hoja za kuacha kula chipsi..mara utawachapia wake zao umeharibu mada yako..

Afterall tafiti za kisasa zinaonyesha mafuta ni muhimu zaidi mwilini na yanahitajika kwa wingi..vyakula vya wanga kama wali,ugali,mihogo n.k hii ndio inayosababisha unene wa kupindukia..

Lakini cha mwisho kabisa lazima utambue kuwa BODY SIZE ni CONTINOUS VARIATION..yaani kwa lugha rahisi ni kwamba saizi ya mwili inarithiwa kutoka kwa wazazi..so kuna watu ni wanene tu hata kama wangefanyaje ni wapo hivyo..na wengine ni wembamba tu hta kama wangekula nini hawanenepi na kuwa ba nyama zembe
Muhuni akishauri kwa majigambo kweli kweli
 
Mkuu kijijini kwetu tumekulia wali,ugali,mihogo n.k hii wala hakuna mnene na wote mbavu tu
 
Habarini wanajf wenzangu I hope mko gud that's fine...
Oh yeah!!!
fanyeni mazoezi wanaume wenzangu bana acheni kula chips, kunywa bia sana zinawafanya mnakuwa mabonge minyama uzembe dah it's so sad mwanaume unakua na buttock (mat**ko) makubwa kumzidi mke shem on you kitambi kikubwa dah!!

Fanyeni mazoezi muwe na body ya kueleweka ndio maana ata mnashindwa kuwaridhisha wake zenu kwa kukosa pumzi (pull) kidogo ya kuendesha mashine yako mwisho wa siku tunawachapia kwa sababu ya uzembe wenu wa kutokufanya mazoezi na diet mbovu inayowapelekea kuwa na body kubwa.

Lasivyo tutawachapia sana wake zenu mpaka mtakapo badilika.

Naomba kuwasilisha asantee.
Bila fact Bado Uzi unakua kama udaku wa e news
 
Back
Top Bottom