Wanaume wenye sura hii, wana misimamo ambayo hawako tayari kuivunja…!

Mtambuzi mwanaume mwenye sura hiyo ni weli anamisimamo na hupenda kutunza heshima yake popote anapokuwa iwe kazini au kwa watu wengine.lakini kidogo kwasababu ya kujipenda na kutokubali kuharibu mwanaume wa sura hiyo ana umimi zaidi hasa kwnye eneo la mapenzi na ni ngumu kumbadii mawazo au kufanya lile ambalo mpenzi wake anafikiria kama tu yeye halikubali. Kuishi na mwanaume wa aina hii ni ngumu ndani japokuwa mazingira ya nje yanaweza kuleta heshima kubwa kwa mwanamke.Ni ngumu kwa mwanaume wa aina hii kuacha mke lakini ni ngumu zaidi kuwa na ukaribu na urafiki mzuri na watoto.mwanaume wa ina hii hasira yake inapotoka na akiweka misimamo katika jambo alilochukia, mtoto anaweza kutamani asingekuwa na baba. lakini mwanaume wa aina hii ni baba bora na kwasababu hupenda sana kujiheshimu huwa hapendi kumiliki nyumba ndogo bali huwa na wanawake kadhaa wa kujiachia nao lakini huwapa mipaka tangu mwanzo na kamwe hawezi kumpa uhuru mkubwa mwanamke wa pembeni hivyo ni ngumu sana kumgundua kama anasaliti hata kama utakaa naye kwenye mahusiano ya miaka 20 bila ndoa. Zaidi mwanaume mwenye sura hiyo hapendi kukurupuka na hujipanga mapema kwenye kila jambo.vitu vyake huvipanga katika mtiririko ambao wewe kama unatabia za kiswahili unaweza kushangaa.wanapenda kwenda na muda na hawapendi kupoteza zaidi ya kupata. Wanaume wa aina hii wanapenda sana magari mazuri na kama watabahatika kumiliki nyumba,basi watapenda iwe ya mfano ii watu wamshangae. Kumalizia ni kwamba mwanaume wa aina hii hapendi majukumu yasiyomuhusu na huwa makini sana wanapochagua mke wa kuoa kwani huangalia zaidi familia anayotoka binti ikiwemo mazingira ya kiuwezo.ni kwamba hawapendi mizigo kwani mitazamo yao huwa ni kusonga mbele tu. Zaidi hawana urafiki na mwanamke bahili.kama mwanamke ni mbahili na uko kwenye mahusiano na mwanaume mwenye sura hii, ujue hatakuoa hata kama utadumu naye kwa miaka kumi.
ptuuuuuuuuuu Mungu nipitishie mbali majanga haya. wakauze sura huko
 
nakupenda Asprin na nakutakia kwaresma njema sana uwe na toba ya kweli wakati huu. usiache kuwapenda wenzako kama nafsi yako, kujitoa kwa hali na mali kumtumikai Mungu na kushiriki katika vyama vya kitume kipindi hiki. hivi wewe si mwana UWAKI??
huyo mkwe wangu Asprin umesikia kabisa kesho kaalikwa kwenye 5some na wakeze,
sasa hiyo kwaresma si ataisikia kwa jirani jamani?
nakutakia mfungo mwema rafiki..... tufanye toba ya kweli na tuombeane
 
Last edited by a moderator:
Nimekumiss Zaidi mdogo wangu... Sikuwahi fikiria uke wenza raha hivi jamaniiii... Mie nashauri zile zamu zetu iwepo mara moja kwa week tunakuwa wote watatu.. Lol

Hii kwarezma mie ndiye nitakuwa mpishi, wewe utapika kipindi cha Ramadhani. Kwa maelezo hayo baba watoto Kaizer kakuelewa kabisaaa!

thanks honey!! me love you.
 
Ninaye mmoja anasura kama hiyo kabisa lkn hana cha msimamo wala nini anayumba kama pendera!
 
Back
Top Bottom