Wanaume wenye sifa na matendo haya hutufanya tukose hamu ya tendo la ndoa

1. Wanaonuka midomoo
Hawa husababisha kupotea kwa hisia za mapenzi ghafla baada ya kusikia harufu mbaya kutoka kinywan wakat wa romance ukitoka hapo lazima uteme mate mwezi mzima.

2. Wenye harufu mbaya ya mwili /kikwapa
Akikukumbatia lazima ukaoge na magadi mche mzima utapuliza marashi ya kila aina nguo ulizovaa lazma ufue na povu la omo maana ukijinusa tu unahisi ile harufu yake ambayo husababisha kichefuchefu.

3. Wenye maandalizi mabaya wakat wa tendo la ndoa
Hawa ni wale wasiojua sehemu muhimu zinazotupa ashki wakat wa tendo la ndoa zaid ya hapo akiona yy yupo tayar anakuvamia tu na kuanza mechi wakat mwanamke hajawa tayar

4.Wanaume wanaopenda kuongea maneno ya kejel katikat ya mechi
Mfano: Mbn haukatik kiuno
:Mpnz wako wa zamani anaitwa nan ?
:Mm na uliyeachana naye nan anakufurahisha

Jaman jaman muwe mnaongea mambo ya kusifia sio kejel mnatupotezea mizuka ya mechi maneno kama "Baby ongeza kasi ya kiuno my sweety wangu nahisi nipo bustan ya eden"

5. Kutokutufikisha kileleni hufanya tusione raha ya tendo la ndoa hivyo hupelekea tukose hamu ya tendo la ndoa

6. Team vibamia

7. Style za mapenzi mnazotufanyia
Unakuta goli moja lakin mwanaume anakugeuza geuza utazani anachoma nyama ya mbuzii mara miguu juu mara mguu kichwani mara mikono inashika chini mara kichwa juu kushoto kulia kama mnasonga ugali

NB:
Jaman wengine mkitupa mastyle ya ajabu kesho unaamka viungo vyote vya mwili vinauma hasa tusiokuwa na mazoez kazi zingine tunazofanya hazitupi muda wa mazoez kuweni wastarabu wakat wa mechi

Rais wa chama cha mabongeeeJf.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pambana hali yako usichopenda wenzio wanapenda...!

Kwa tajiri cha nini maskini nitakipata wapi??? Sasa ww km siyo muongo bonge anayekugeuza hiyo kazi unamlipa???
 
Ukitaka mwanamume mwenye sifa nzuri utoe K bure. Mtu akulipe halafu tena aanze kujifikiria? Ni mpango wa kujisevia tu.
 
Kweli jando na unyago zilikua na umuhimu maana unaweza kua na nia njema kwenye jambo fulani lakini jinsi kulisema kwa jamii ikawa shida . Tusipokua makini kila kona ukipita utakua na X wako. Ujuaji mwingi haufai pia ndoa za vijana ndio zinayumba kuliko watu wazima. Tunakosea sana.mapenzi ujengwa na uwazi na kuelezana mapungufu mkiwa wawili kwa busara sio kuropoka tu.
 
1. Wanaonuka midomoo
Hawa husababisha kupotea kwa hisia za mapenzi ghafla baada ya kusikia harufu mbaya kutoka kinywan wakat wa romance ukitoka hapo lazima uteme mate mwezi mzima.

2. Wenye harufu mbaya ya mwili /kikwapa
Akikukumbatia lazima ukaoge na magadi mche mzima utapuliza marashi ya kila aina nguo ulizovaa lazma ufue na povu la omo maana ukijinusa tu unahisi ile harufu yake ambayo husababisha kichefuchefu.

3. Wenye maandalizi mabaya wakat wa tendo la ndoa
Hawa ni wale wasiojua sehemu muhimu zinazotupa ashki wakat wa tendo la ndoa zaid ya hapo akiona yy yupo tayar anakuvamia tu na kuanza mechi wakat mwanamke hajawa tayar

4.Wanaume wanaopenda kuongea maneno ya kejel katikat ya mechi
Mfano: Mbn haukatik kiuno
:Mpnz wako wa zamani anaitwa nan ?
:Mm na uliyeachana naye nan anakufurahisha

Jaman jaman muwe mnaongea mambo ya kusifia sio kejel mnatupotezea mizuka ya mechi maneno kama "Baby ongeza kasi ya kiuno my sweety wangu nahisi nipo bustan ya eden"

5. Kutokutufikisha kileleni hufanya tusione raha ya tendo la ndoa hivyo hupelekea tukose hamu ya tendo la ndoa

6. Team vibamia

7. Style za mapenzi mnazotufanyia
Unakuta goli moja lakin mwanaume anakugeuza geuza utazani anachoma nyama ya mbuzii mara miguu juu mara mguu kichwani mara mikono inashika chini mara kichwa juu kushoto kulia kama mnasonga ugali

NB:
Jaman wengine mkitupa mastyle ya ajabu kesho unaamka viungo vyote vya mwili vinauma hasa tusiokuwa na mazoez kazi zingine tunazofanya hazitupi muda wa mazoez kuweni wastarabu wakat wa mechi

Rais wa chama cha mabongeeeJf.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hakuna wanaume wanajuwa kuandaa mwanamke kama wenye vibamia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom