samstevie
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 202
- 31
SAMSTEVIE huwezi amini hata huyo mtu mwenyewe sijamfahamu mpaka hivi sasa. Kila nikijaribu ku-trace hiyo namba, haitoi jibu lolote. Pia nisingeshindwa kumeleza hayo kwakuwa huwa sipendi kujibu message hovyo kwa mtu nisiyemfahamu.
Nashindwa sasa kuconnect maelezo haya na main thread yenyewe ulivyoiandika hata hivyo pamoja na kuwa mvivu wa kuandika message inatakiwa ufanye hivyo kwa manufaa ya mapenzi uliyonayo hivi sasa mjibu mwambie humtaki na asitume tena message zake kwakuwa una mtu wako