Wanaume wengine bwana

SAMSTEVIE huwezi amini hata huyo mtu mwenyewe sijamfahamu mpaka hivi sasa. Kila nikijaribu ku-trace hiyo namba, haitoi jibu lolote. Pia nisingeshindwa kumeleza hayo kwakuwa huwa sipendi kujibu message hovyo kwa mtu nisiyemfahamu.

Nashindwa sasa kuconnect maelezo haya na main thread yenyewe ulivyoiandika hata hivyo pamoja na kuwa mvivu wa kuandika message inatakiwa ufanye hivyo kwa manufaa ya mapenzi uliyonayo hivi sasa mjibu mwambie humtaki na asitume tena message zake kwakuwa una mtu wako
 
POINTERS Ahsante kwa ushauri, but kwa upande wangu kumweleza Mpenzi wangu naona ni busara zaidi kuliko kukaa kimya.

inaweza kuwa bora ila sidhani km ni busara mpnz wako kujua kuwa kuna mtu anakusumbua au kukutongoza au anakutaka maana siku akiona kimya anaweza kusema umemkubalia na ndo maana ametulia....hiyo ni kwa upande wa negative....akiwa positive ni jambo zuri ila ni wachache sana
 
labda anataka kukuharibia huyo,ni vizuri ukamwarifu huyo mpenzi wako wa sasa ili hata akiona hizo sms au kusikia chochote isilete matatizo kati yenu
 
SAMSTEVIE huwezi amini hata huyo mtu mwenyewe sijamfahamu mpaka hivi sasa. Kila nikijaribu ku-trace hiyo namba, haitoi jibu lolote. Pia nisingeshindwa kumeleza hayo kwakuwa huwa sipendi kujibu message hovyo kwa mtu nisiyemfahamu.
Sasa kwa nini umehisi ni mtu ambaye mshawahi kuachana?
 
Utakuta mvulana uliyekuwa na uhusiano nae kipindi cha nyuma anaendelea kukufuatafuata kwa kutuma message za ajabuajabu kwa msichana ambaye walishaachana nae hapo zamani na anajua wazi kabisa tayari upo na uhusiano na mwanaume mwingine ambaye mnapendana sana.

Hv paparaz una miaka mingapi? Yaelekea JF imeingiliwa na Visichana vya FB. Una uhusiano wa kingono na mvulana halafu unataka kutuumiza kichwa kwa upambaf wako. Ingekuwa ulikuwa na NYAMAUME kwa kweli ningekushauri lakini hapo NO!

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
SAMSTEVIE huwezi amini hata huyo mtu mwenyewe sijamfahamu mpaka hivi sasa. Kila nikijaribu ku-trace hiyo namba, haitoi jibu lolote. Pia nisingeshindwa kumeleza hayo kwakuwa huwa sipendi kujibu message hovyo kwa mtu nisiyemfahamu.
mbona unajichanganya?mwanzoni umesema mpenzi wa zamani,sasa hivi unasema mtu mwenyewe humfahamu !!!ina maana ulikuwa na wapenzi wengi ???!!!
 
KAKAKIIZA Yani hiyo ni NEVER coz penzi huwa halilazimishwi. Pia kama haukuwa mpango wa Mungu wa mimi na yeye kuendelea kuwa pamoja, asidhani kwamba akitumia mbinu hiyo ndipo penzi litarudi. Akae tu akijua kwamba penzi langu kwake liliisha siku nyingi sana. Hivyo anajisumbua tu.
Kwamaana hiyo huwezi kumsamehe??kama ndiyo hivyo basi utakuwa wewe ndiye ulisababisha tatizo lililopo!
 
Silence is the best answer....unamchunia tu mwache atumeeee weee sms akiona kimya atacha mwenyewe na kujiona mjinga
 
Habari zenu wana JF. Jamani siku hizi kuna wanaume ambao hawana hata busara kabisa. Utakuta mvulana uliyekuwa na uhusiano nae kipindi cha nyuma anaendelea kukufuatafuata kwa kutuma message za ajabuajabu kwa msichana ambaye walishaachana nae hapo zamani na anajua wazi kabisa tayari upo na uhusiano na mwanaume mwingine ambaye mnapendana sana.

Hivyo kutokana na wivu alio nao ataanza kukufuatilia kwa maneno ya ajabuajabu, ili mradi tu akuvurugie uhusiano wako na mwanaume uliye nae.

Jamani wana JF naombeni ushauri wenu kwa wanaume wa namna hii wafanyweje?

Hawana tathira yoyote hao kwa mwanamke alie na msimamo. Tatizo ni kuwa hata hao wasichana wenyewe wanafanya mapenzi kama mchezo, hawajuwi kabisa kuwa mapenzi si kitu cha mzaha!
 
Hv paparaz una miaka mingapi? Yaelekea JF imeingiliwa na Visichana vya FB. Una uhusiano wa kingono na mvulana halafu unataka kutuumiza kichwa kwa upambaf wako. Ingekuwa ulikuwa na NYAMAUME kwa kweli ningekushauri lakini hapo NO!

Bazazi!
BAZAZI Acha makelele wewe. Naona unaongea pumba tu. Kama hukuwa na comment si ungekaa kimya. Yani umeongea non-sense kama kijana ambaye hajaenda shule kabisa. Tulizanaaaaa....
 
Last edited by a moderator:
BAZAZI Acha makelele wewe. Naona unaongea pumba tu. Kama hukuwa na comment si ungekaa kimya. Yani umeongea non-sense kama kijana ambaye hajaenda shule kabisa. Tulizanaaaaa....

we umekuja kuomba ushauri then unakoma umepewa jibu tosha kuna tofauti ya mvulana na mwanaume.wavulana wataendelea kukusumbua na ndio maana paka leo unahisi auna uakika kama ni huyo mvulana coz #ni mpya.ingekuwa mwanaume angekuja wazi na #yake
 
BAZAZI Acha makelele wewe. Naona unaongea pumba tu. Kama hukuwa na comment si ungekaa kimya. Yani umeongea non-sense kama kijana ambaye hajaenda shule kabisa. Tulizanaaaaa....

Acha kutoka Povu na makamasi, unat*mb@n@ na Vivulana halafu unataka ushauri? Nenda katawaze kwanza shombo na utoko wa Kivulana ndio urudi kuelezea hoja yako ya Kisichana.

Ndimi Bazazi!
 
hiyo kitu ni simple badilisha namba uanze upya...kuna baadhi ya watu wana hiyo tabia
daa hivi number hubadilishwa kwa sababu kama hizi, wat if hiyo number ndo unaitumia kwa shughuli zako nyingine like biashara, kazi na mengineyo, atafute njia nyingine ya kukabiliana nae, sio kubadili number, nunua simu zenye option ya kureject number or mtishie kumpeleka police kwa usumbufu anaousababisha au mtafutie watu wampige mkwara wa kutosha tu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom