- Thread starter
- #61
Hujawahi mvulia hata mmojawao?
Honestly, sijawahi maana mwanzoni tuu wanakuwa wameshaonyesha nia yako ni kuchakachua tuu na kusepa..! Hivyo ni rahisi kuwasoma mwanzoni..!
Hujawahi mvulia hata mmojawao?
may be
Eti goma linaingia line, jamani!
Hello JF members..!
Nimetumia ID tofauti makusudi ili kutoa tahadhari kwa wadada wenzangu wanao respond kwenye posts za baadhi ya wanaume wanaotafuta wenzi humu Love connect!
Nimerespond kwa post kama 4 tofauti tofauti za wanaume wanaotangaza wanatafuta wachumba humu, yaani ni waongo na lengo lao kubwa wanataka tuu sex..! Hawako serious kabisa na kwa hii tabia wanaharibu maana ya hili jukwaa kwani kuna baadhi yetu tuko serious..!
- Kitu kinachoshtua ni kwamba ukirespond tuu kwa PM hapo hapo anaanza kukuita My love, honey, darling wakati hata hajakuona na hajui kama akisha kuona mtamatch..!
- Ikitokea umeonana nae, anakuwa hana la kuzungumza la maana zaidi ya lini sasa tutafanya sex??
Ndio uchumba unaanza hivyo kweli?? Wanaume wenye tabia hii jirekebisheni..!
Honestly, sijawahi maana mwanzoni tuu wanakuwa wameshaonyesha nia yako ni kuchakachua tuu na kusepa..! Hivyo ni rahisi kuwasoma mwanzoni..!
Hujakutana na wazoefu wa kufeki ambao wanakuja mpaka kutoa posa lengo amege tu.
Kwani siku hizi kuna kuoana basi? jus chakachuas zen mambo mengine yatatokana na kunogewa au kuendana kitabia na mwenendo ndo ndoa yaweza kuja, lakini habari ya kuoana direct ilikuwa zamani enzi za wanawake ma bikra na wanaume waseja.
KAMA ni kweli ulifanya hivyo,basi u got a serious problem,yaani ukam time,ukawa unamchora-u had time to do all this na ugreat thinker wako wote-u must be leading a really sad empty life-i refuse to believe this story but kama ni kweli u need counselling big time
Mie nipo serious niambie nifanyeje sasa ili nikuone! sitaki kukuita darl, my sweet au sijui nini! cha msingi nipe mawasiliano yako ya kweli.
Duuh hii ni hatari, yani ndio nilikua namalizia kuandika uzi wangu wa kutafuta mume hapa jukwaani, inabidi nisitishe , nijipange kivingine.
Hahahahaha!
Kuna mzembe mmoja nlimuibukia na ID ya jina la kike. Lilitongoza mpaka nikakoma!
Nikalipangia appointment lije baa ya jirani. Likaja kweli asee. Acha tulichore na washkaji zangu! Limeganda pale mpaka saa tano usiku zembe likasubiri daladala likakosa likapotea na tuktuk....
Usisahau kwenye PM lilishajibaraguza linamiliki Vogue na nyumba Mbezi beach! Manina zangu babu yenu mimi
Chezeya JF wewe?
Baadae naenda kwenye sendoff ya mdogo wa rafiki yangu
gud enough kuwa wamekutana hapa jamvini wameendana mwanaume alikuwa serious na mwanamke pia
mpaka wamefikia stage hiyo
all i can say inategemea japo wakweli ni asilimia chache sana
subiri nipige mzigo kisha niende
na mwanaume alisharudi humu kutoa shukrani jf imempatia mke
ha ha labda kesho nitamuona invisible au fang live maana
so dia mleta mada usikate moyo utampata tu
Men will be men tu..tuwe jf au kariakoo mtaa wa kongo.
ametuharibia ambao hatujapata wachumba bado, mimi ni mw'ume ni mp tu. wendie hapana nataka mwingine au lateni, wendie hutafaa umesumbuliwa, utanisumbua,stak anaejistukia, wala sitamuomba sex, angalizo.. asiwe ananiomb pesa