Wanaume wengi wanaotafuta wachumba humu ni balaa...!!

Hello JF members..!

Nimetumia ID tofauti makusudi ili kutoa tahadhari kwa wadada wenzangu wanao respond kwenye posts za baadhi ya wanaume wanaotafuta wenzi humu Love connect!

Nimerespond kwa post kama 4 tofauti tofauti za wanaume wanaotangaza wanatafuta wachumba humu, yaani ni waongo na lengo lao kubwa wanataka tuu sex..! Hawako serious kabisa na kwa hii tabia wanaharibu maana ya hili jukwaa kwani kuna baadhi yetu tuko serious..!


  • Kitu kinachoshtua ni kwamba ukirespond tuu kwa PM hapo hapo anaanza kukuita My love, honey, darling wakati hata hajakuona na hajui kama akisha kuona mtamatch..!


  • Ikitokea umeonana nae, anakuwa hana la kuzungumza la maana zaidi ya lini sasa tutafanya sex??

Ndio uchumba unaanza hivyo kweli?? Wanaume wenye tabia hii jirekebisheni..!

mie sipo hivyo cheki pm yangu!!!!
 
Hamna kitu ulichofanya research yako ni ya uongo haitoi majibu. Jipange.
 
Hahahahaha!

Kuna mzembe mmoja nlimuibukia na ID ya jina la kike. Lilitongoza mpaka nikakoma!

Nikalipangia appointment lije baa ya jirani. Likaja kweli asee. Acha tulichore na washkaji zangu! Limeganda pale mpaka saa tano usiku zembe likasubiri daladala likakosa likapotea na tuktuk....

Usisahau kwenye PM lilishajibaraguza linamiliki Vogue na nyumba Mbezi beach! Manina zangu babu yenu mimi

Chezeya JF wewe?

Umenisikitisha sana aiseeee..kumbe na wewe ni mmojawapo wa wale mnataka kuifanya jf kama fesibuku....
 
Daaa.....hata hivyo mume hatafutwi kwa kuomba application za feki id.
 
Pole sasa lakini usiwazanie wote wako sawa wengine hawako hivyo wewe kwani unamiaka mingapi je umefanikiwakumpata au bado kwa sababu wengine wapo serious na wenge wako na joks kwa hiyo hao wana joks waachie na hao waloweka sex mbele hao malimbukeni wa loves sasa wewe hebu tuwa siliane huenda ikawa ndo rizki yako au yangu kwa hiyo nipe mawasiliano yk au vipi this is not joking this is kweli ahsant
 
hahah eti dada wakkusex nae...trust me unaongea tuu mwanamke ata kama she loves u kimwambia i dig and wana taste ur warmspot atasema oh umeniona mie cheap....so the only way to get mwanamke kupanua miguu ni kumdanganya tuu kuwa wampenda...and ladies like that coz if they didnt no man will be getting K

kama kawaida yako mzabzab
 
@Heart...Watu wanafunga pingu za maisha hapa...Chezea JF weye!!! ila bahati mbaya wengi hawapendi kujitangaza.
Wendie sasa twaambie ID yako ya kila siku



Khaaa..! Uhusiano serious kupitia JF shosti..!?? # Sidhaaaani...
 
Back
Top Bottom