Wanaume wengi wanaotafuta wachumba humu ni balaa...!!

Kumegwa sijamegwa..! Ila nimeshtushwa na tabia zinazofanana kwa wanaume wote wanne za kuonyesha seriousness kwenye post zao lakini hawamaanishi hivyoo..! Bora tu waandike NATAFUTA DADA WA KU SEX NAE ijulikane moja!

Wendie,mwanaume akikufata akakwambia anataka kusex na wewe utakubali kweli!?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Naam Wendi kwi kwi kwi kwi kwi.... kama unaona nomaa mbele ya kadamnasi basi unaweza kuninong'noneza lol!
:fencing::fencing::fencing:

Unataka kujua ID yangu ya kila siku? Teh teh teh.
 
@Heart...Watu wanafunga pingu za maisha hapa...Chezea JF weye!!! ila bahati mbaya wengi hawapendi kujitangaza.
Wendie sasa twaambie ID yako ya kila siku

Kweli mkuu mwenyewe 2014 lazima nibebe mchumba niliye mpata JF
 
Kweli wanaume humu jf wengi ni waongo na hawako serious kabisa wanataka kufanya sex tu. Na wengine wameshaoa na kuenda kukutana nao ukakataa kufanya nao sex ndo biashara imeishia hapo sitaki hata kusikia mie kutafuta mchumba jf
 
Mmmh... Pole my dear.! Humu JF kuna kila aina ya vituko..!
 
Unajua kuna watu wanatoa matangazo yanaonyesha wanahitaji wenza ... Sasa huko kwenye PM ndiko balaa linakoanzia, na asipoleta balaa huko mkionana tuu ni sex ndio inatawala. Nimekoma mwaya!

Wendie, Pole sana, na Mushukuru Mungu kwa kukupa akili ya kuwang'amua mapema, la sivyo ungegegedwa wewe mpk unakuja stuka umesha gegedwa na wanaume 100 Loh!

Wanaume wa JF, Kuweni wakweli ,maana kuna wengine wako seriosly ili wapate wenza.
 
Unajua kuna watu wanatoa matangazo yanaonyesha wanahitaji wenza ... Sasa huko kwenye PM ndiko balaa linakoanzia, na asipoleta balaa huko mkionana tuu ni sex ndio inatawala. Nimekoma mwaya!

Wendie, ni kweli samakai mmoja akioza wote wameoza??No!! Please, try me ...
 
Afadhal mim sina tabia hiyo mi nin wife na 2 kids all in pr school. Dada zangu siku nikitangaza natafuta ruksa kuniumbua. Pia dada zangu kutafuta sawa lakni mwombe Mungu pia ili awaepushe matapeli wa mapenzi. Mbarikiwe wadada wote
 
Back
Top Bottom