wanaume,wanaume,mmmh!!!

Mh basi mama ya uchawini yaishie uchawini crudii tena kukucharura.........................ila dinner c utakuja eti eehh

Nakuja ila jiandae na faini ya kuniruka mbele za watu. Pale pale au leo twende kiwanja kingine? Pale panachosha sana chakula kinachelewa sana au unaonaje?
 
Asprin ushanihamisha leo na wewe sasa iyo avatar ndo nini mi sipendi wenye aibu unaniangusha

Chauro unaogopa jinsi navyopiga fegi hapo? Napandisha stimu kidogo, usijali ukianguka ntakuamsha.
 
Nakuja ila jiandae na faini ya kuniruka mbele za watu. Pale pale au leo twende kiwanja kingine? Pale panachosha sana chakula kinachelewa sana au unaonaje?

faini c tatizo maana ni tarehe nzuri hizi, pale tutapakimbia kuna kona moja kali opposite ya ya hako kaplace ketu shuka down tu utanisoma vizuri nakipensi changu cha jeshi nakusubiri c unajua tena suruali na joto haviendani
 
Mtu akishang'atwa na nyoka mara moja basi huwa na taadhari na kila unyasi unaomgusa so si rahisi kung'atwa tena

watu wansema eti wanawake mwalimu wenu kipofu eti mna akili ya kuvuka bara bara tu ni kweli eti mnasahau haraka so mnaumwa na nyoka mara kibao tu
 
faini c tatizo maana ni tarehe nzuri hizi, pale tutapakimbia kuna kona moja kali opposite ya ya hako kaplace ketu shuka down tu utanisoma vizuri nakipensi changu cha jeshi nakusubiri c unajua tena suruali na joto haviendani

Sasa poa basi saa moja na nusu nitakuwa hapo usijali dear eeehhh
 
ila wapo maepert wa kudanganya jamani,yaani hata wkt wakukufatilia wengine wanaweza kujifanya wamepata homa kisa hujapokea simu yake,kuna mkaka mmoja jamani ni shetani wkt ananifatilia alinambia eti mie kuongea na tabia zangu zinafanana na marehemu mama yake na hivyo akasema nikikubali anioe atanitunza na kuniheshimu kama alivyomuheshimu marehemu mama yake,na alikua akiongea wa hisia mtu ungeweza kumuamini,story ni ndefu kidogo lkn nilikuja gundua kumbe hilo likaka ni lifataki lililooa na lina mtoto,yaani nililidharau japo halikufanikiwa 'kunirubuni'.kwa kweli mwanamume muaminifu ni kwa maombi lkn wengi wao ni wadanganyifu sana.
 
hapo kwa RED, Cheusi wangu naona kama hujakuwa muwazi vile?kugundua hayo yote kuwa ni yeye ni fataki, ameshaoa na ana watoto, si kazi ya siku mbili hiyo!Ni lazima atakuwa amesharekebisha mara kadhaa na ndipo alipojisahau na wewe ukagundua uwongo wake!lakini kwake yeye, mission imekuwa achieved! ISITOSHE BILA HIZO MBWEMBWE ZOTE NA LUGHA HIYO NZURI WEWE UNGEMPA HUO UTAMU WAKO?
 
ila wapo maepert wa kudanganya jamani,yaani hata wkt wakukufatilia wengine wanaweza kujifanya wamepata homa kisa hujapokea simu yake,kuna mkaka mmoja jamani ni shetani wkt ananifatilia alinambia eti mie kuongea na tabia zangu zinafanana na marehemu mama yake na hivyo akasema nikikubali anioe atanitunza na kuniheshimu kama alivyomuheshimu marehemu mama yake,na alikua akiongea wa hisia mtu ungeweza kumuamini,story ni ndefu kidogo lkn nilikuja gundua kumbe hilo likaka ni lifataki lililooa na lina mtoto,yaani nililidharau japo halikufanikiwa 'kunirubuni'.kwa kweli mwanamume muaminifu ni kwa maombi lkn wengi wao ni wadanganyifu sana.

Pole sana Cheusie my darling.....Kwa hiyo mlitumia kondom si eti eh?
 
Si unaona anapiga msuba? Mwana Apollo huyo!
hahahahahahahaha!
BATAAAA NI BATAAAAAAAAAAAAA
TUNATAAKAA BATAAAAAAAAAAAA
BATAA WA KIMAMBOOOOOOOOO
TUNATAKA BATAAAAAAAAAAAAAAA

BATAAA NI BATAAAAAAAAAAAAAAA
TUNAKULA BATAAAAAAAAAAAAAAA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom