wanaume,wanaume,mmmh!!!

Ki utafiti na mimi navyojua siku zote mwanamke ukimwambia ukweli kuna asilimia ndogo sana ya kumpata, mfano mwambie wewe sio player atajua unajifagilia ila kicheche. Pia kweli wewe una uwezo ukimwambia una uwezo atajua fixi unataka umtege tu. Atakwambia gari lenyewe umeazima na hauni pati, na ukimdanganya una asilimia kubwa ya kumpata. Ni vizuri wote kuwa wa kweli, japokua pia inasemekana kwamba wazuri hupata wabaya na wabaya hupata wazuri.Blög Sicä | Welcome to Blog Sica!!!
 
wanaume wengi wako hivyo ili kuwafubdisha na kuwapa elimu juu kina dada juu ya jinsi wanaule walivyo
 
oooh pole saaana aisee,ndo tulivyo sie,ukituonjesha utamu kama hautufai tunasepa,kama unatufaa tunabaki.
Cha msingi usionjeshe wengi tu
 
hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????

...huenda wanawake wengi hawasikilizi na kuyatilia maanani maneno wanayotongozewa.
Wengi hawachunguzi ?, " ", !, na __-__-__zinatumikaje na wanaume...
 
Maskini pole sweetheart yamekukuta hayo? ukizaliwa na ukawekwa chini ya jua tegemea haya kutokea ..hawa hatujatoka nao tumbo moja hivyo sio ndugu zetu......
wapo wanaokuja kwa malengo maalum ya kubanjua amri ya sita na kukata kona
Wapo wanaokuja kwa nia ya kuongeza list ya wanawake aliowahi kutoka nao
Wapo wanaokuja kwa nia ya dhati kuwa na wewe lakini pilika za maisha zinawabadilisha
Na wapo wenye penzi la kweli kwa macho ya kibinadamu ni ngumu kuwatambua.
Funga kurasa na anza page nyingine ya maisha yako

Yaani umeongea kwa mtiririko wa habari ya Mpanzi alioitoa Bwana Yesu kwenye Bible.
 
Wengi ya wanawake wanapenda kudanganywa wenyewe kutokana na maringo yao ila siyo wamume wote

Mwasu joole!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom